Tanganian
JF-Expert Member
- Jan 27, 2025
- 999
- 1,898
Wamefany vizuri sana kuchuja .napenda zile za kuchujua nikiwa huko Tanga zile huanachujua kwa kiwango cha sukari nitakacho ndio sasa hivi hazina sukari ya kukarahisha saa zingine unaisikia kwa mbaaaaali