There is nothing ''smart'' about 9/11,unless you are from Tora Bora caves...
Get your facts straight.......π
last time I checked,there was a thin line between ''dadii'' and Togwa....ππ
...seems you are done with mouthfulπDπ)...
It's fictional.(Case Closed)And am not going to tell you whether you say it's fictional or you accept that it's real.
Plot Twisted:''He is he... He was and he'll ever be my ''fictional''dude''He is he... He was and he'll ever be my dude....
That's helluva dose of daydreaming...........FYI it was before we were born not ".... since the beginning. .."
As usual...you are stuck in a fantasy truck....totally lost from realityAs usual.... you are out of truck ... totally lost....
Poleeee
Ila ni bidhaa hatari sana mwilini mwako kuliko bia.View attachment 406945
Hii ni bidhaa muhimu sana mwilini mwangu kuliko hata maji ya kunywa [emoji123]
Wewe utakuwa unatoka Mwanga hukodengelua
Ha. Ha ha ha vijana. Wa juz wanajulikana tuVIMTO ndo kinywaji gani hicho
Mi ni wa zamani kijana.Nipe shikamoo yangu.Hiyo VIMTO ndo kiroba au?Ha. Ha ha ha vijana. Wa juz wanajulikana tu
Mkuu watu wa kale wote wanajua vimtoo aiseee hapa sio dunia ya viroba hiiMi ni wa zamani kijana.Nipe shikamoo yangu.Hiyo VIMTO ndo kiroba au?
hii soda ni ya miaka ya 80`s,i remember i was at TABORA when these drinks kicks...VIMTO ndo kinywaji gani hicho
Bia inaenda sambamba na kutoka kitambi kama mayai ya kuchemsha na kujamba. Kitambi sio kitu nnachotamani, ndo maana ngano nliacha kitamboIla ni bidhaa hatari sana mwilini mwako kuliko bia.
I see,basi ni ya zamani.Miaka hiyo nilikuwa mdogomdogo kiasi ndo maana sikuisikia.Dah ndo wanaikumbushia miaka hii.Mkuu watu wa kale wote wanajua vimtoo aiseee hapa sio dunia ya viroba hii
hii soda ni ya miaka ya 80`s,i remember i was at TABORA when these drinks kicks...
Sasa kitambi na kuchakaa maini ipi afadhali?Bia inaenda sambamba na kutoka kitambi kama mayai ya kuchemsha na kujamba. Kitambi sio kitu nnachotamani, ndo maana ngano nliacha kitambo
Kutokana na mwili wangu ulivyo (mwembamba), ni bora tu kuchakaa maini kwa kweliSasa kitambi na kuchakaa maini ipi afadhali?
Ni kweli ni MPARE HALISI wa bila mchanganyikoWewe utakuwa unatoka Mwanga huko
As usual...you are stuck in a fantasy truck....totally lost from reality
..and that's all folks...πkeep in your mind that Kasie is short form of Kasinde.
..and that's all folks...π
So it is a case Aahaaa hehehehehe I didn't knew....It's fictional.(Case Closed)