Kinywaji gani ukipendacho

Kinywaji gani ukipendacho

Tokea November 2015 mpaka Leo tarehe 24/9/2016 sijatumia kinywaji chochote kilichotoka kiwandani ..

Muda mrefu sana ase ,ila namshukuru Mungu sana ,nilikuwa addicted sana na ma fullsana.

..
 
Tokea November 2015 mpaka Leo tarehe 24/9/2016 sijatumia kinywaji chochote kilichotoka kiwandani ..

Muda mrefu sana ase ,ila namshukuru Mungu sana ,nilikuwa addicted sana na ma fullsana.

..
Hongera. Uamuzi mzuri sana sanaa
 
Minute Maid ya Embe ndo ulikua ugonjwa wangu saiv mmechakachua lijuisi lenu limekua libaya hatari chemicals nyingi mno nyie coca cola company mmeniskia? Kweli mgema akisifiwa....
 
ulanzi barid maana hakunaga hata haja ya friji kule kwetu iringa,
 
Glass ya amarula ndani yake kuwa na barafu kadhaa mmmhhh nasikia kiu unanifanya nitoke usiku huu wakati kesho church...
*amarula-Togwa
*barafu-ndimu
Enough said............
 
I achieve maximum utility when I go for Kilimanjaro Drinking Water.
 
Back
Top Bottom