Kinywaji gani ukipendacho

Kinywaji gani ukipendacho

Kunywa ili kushiba([emoji50])- Uji

Kunywa ili kulewa na kufurahi ([emoji23]) -Wine esp. Dompo

Kunywa ili kufanya kazi sana/party([emoji88])-Captain Morgan/nyagi.
 
Malibu mixer john mtembezi huwa naona dunia ni tamu sana, huwa naitumia pia kumuimbisha demu at last chance yaani ikitokea siku nimekunywa hivyo nikaimbisha nikachomolewa ndiyo siku naacha kunywa.
 
Nilitembelea Tanga kipindi fulani nikajaribu Anjari soda. Inaladha nzuri, poa sana ukinjwa joto likiwa kali. Tatizo moja niligundua Anjari soda inaacha rangi nyekundu mdomoni. Kingine ni Olivia Pope...jina zuri.....nimemkumbuka Olivia Pope. One perfect heart of love from Arusha.
Ulijaribu na Heltho....
 
We jamaa mbona huvijui...
Dah! Mi ni wa soft drink tu so iwe lite alcohol au hard one sizifahamu nyingi zaidi ya product za TBL na chache chache ambazo ni common zinazonyweka sana kama Grant's,Vodka n.k
 
Dah! Mi ni wa soft drink tu so iwe lite alcohol au hard one sizifahamu nyingi zaidi ya product za TBL na chache chache ambazo ni common zinazonyweka sana kama Grant's,Vodka n.k
My favourite is black label- John Walker
 
Dompo Mix konyagi

waiter zungusha[emoji481] [emoji481] [emoji481] [emoji481]
 
Glass ya amarula ndani yake kuwa na barafu kadhaa mmmhhh nasikia kiu unanifanya nitoke usiku huu wakati kesho church...
 
Back
Top Bottom