Elungata
JF-Expert Member
- Jan 28, 2011
- 40,205
- 33,287
mi si mchoyo mkuu,kizuri unashare na wenzakojiandae kugongewa demu wako au mkeo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mi si mchoyo mkuu,kizuri unashare na wenzakojiandae kugongewa demu wako au mkeo
I see,tena ninyi ndo mna wivu wa kufa mtu.Utakuta umenunua bastola si kwa ajili ya wezi bali ya kulinndia mke.mi si mchoyo mkuu,kizuri unashare na wenzako
Kinywaji cha wapi hicho mkuu,ni kilevi? au soft drinkSmirnoff
N kilevi ila kiko poa sana kuliko konyagiKinywaji cha wapi hicho mkuu,ni kilevi? au soft drink
Kilimanjaro
Oh! Oh! Oh! Jamii ya VODKA hiyo ni kali sana.Nilijua kama Castle lite hiviN kilevi ila kiko poa sana kuliko konyagiView attachment 406083
Tena uikute juice ya mchanganyiko wa parachichi na embe bichi then inawekwa vanila.Hutaisahau tamu sana.maji,maziwa fresh na juisi hasa ya parachichi.
I see,kuna vinywaji vingi sana sivifahamu kwa kweli,DOMPO?Dompo nikikos at kaglc kamoja silali
Inatokan n kusindikwa kwa zabibuI see,kuna vinywaji vingi sana sivifahamu kwa kweli,DOMPO?
mkuu unaweza sahau matatizo yote yakiuchumi.Tena uikute juice ya mchanganyiko wa parachichi na embe bichi then inawekwa vanila.Hutaisahau tamu sana.
A town zipo za kumwaga!Alvaro & Novida sijui zimepotelea wapi?