ILAN RAMON
JF-Expert Member
- Sep 10, 2013
- 9,698
- 4,488
Hahahaha dictator mwendakuzimu hujawahi ona kama hafai?Ni hilo tu
Mbowe ulishatangaza 2023 unastaafu na Mungu wa mbinguni alisikia pia Dunia ilisikika.
Mungu anasema Ukiahidi Timiza.
Mungu wa mbinguni mfanyie Wepesi Freeman Mbowe wa Chadema 😀
Pia soma