Kiongozi Hezbollah kanda ya Kusini Lebanon wa kundi la Southern Front auawa na shambulio la ndege zisizo na rubani za IDF

Kuna huyu mwingine kapigwa asubuhi. Lilikuwa ni suala la muda tu

 
Hivi haya Makundi ya Wapiganaji wa mlengo wa kidini Kama Hesbolah wanapata faida gani kwa kuanzisha hayo makundi??
hao sw na wezi wa pesa kwenye mabank ,wanatumia sini kupata huruma ya jamii ila malengo yao ni kuchukua vitega uchumi vya umma na kukusanya mapato wao kwa faida zao na sio umma mf mafuta , gesi , migodi , bandari , misitu na miji mikubwa pia
 
Kama ile kauli “KATA MTI PANDA MTI” ingekuwa binadamu basi ni hao jamaa hapo Mashariki Ya Kati.

Mzayuni mara hii hashikiki kama Kambale anafanya kutereza tu kwenye himaya za Mpalestine na washirika wake
 
Taifa teule Israel ubarikiwe
Watabarikiwa wanaokubariki ,watalaaniwa wanao kulaani.
Wewe ni mteule maana kwako tumepata masihi aliyeukomboa ulimwengu mwenye ufalme mabegani mwake. Mungu mwenye nguvu.
Ubarikiwe Israel🙏
Ubarikiwe Israel 🙏
Ubarikiwe Israel🙏
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…