Kiongozi Hezbollah kanda ya Kusini Lebanon wa kundi la Southern Front auawa na shambulio la ndege zisizo na rubani za IDF

Kiongozi Hezbollah kanda ya Kusini Lebanon wa kundi la Southern Front auawa na shambulio la ndege zisizo na rubani za IDF

Wadau hamjamboni nyote?

Kazi inaendelea kuyaua magaidi yasiyo na Huruma

Kiongozi huyo mwandamizi anaeyenda kwa jina la Ali Abd Ali ameuawa kwenye shambulizi katika mji wa Bazourieh karibu na pwani ya jiji la Tyre Ali Abd Ali.

Aliongoza brigedi ya Kusini na akihusika kupanga na kuteketeza mashambuluzi mabaya dhidi ya Israel

Kifo chake ni pigo.kubwa sana kwa kundi hilo la magaidi wa Hezbollah

Taarifa kamili hapo chini:

IDF says ‘central terrorist’ in Hezbollah killed in southern Lebanon strike

A prominent Hezbollah operative in the terror group’s so-called Southern Front unit was killed in an Israeli drone strike this morning in southern Lebanon, the IDF says.

The strike in the town of Bazourieh, near the coastal city of Tyre killed Ali Abd Ali.

The IDF says Ali was a “central terrorist in the Southern Front of the Hezbollah terror organization,” and involved in planning and carrying out numerous attacks.

His killing is a “significant blow to the functioning of the Southern Front and the Hezbollah terror organization in the region,” the IDF adds.

The Southern Front is a Hezbollah regional unit responsible for the terror group’s activities in the entire southern Lebanon, the equivalent of a regional command.
Kuna huyu mwingine kapigwa asubuhi. Lilikuwa ni suala la muda tu

Screenshot_20240803_150633_Chrome.jpg
Screenshot_20240803_150710_Chrome.jpg
 
Hivi haya Makundi ya Wapiganaji wa mlengo wa kidini Kama Hesbolah wanapata faida gani kwa kuanzisha hayo makundi??
hao sw na wezi wa pesa kwenye mabank ,wanatumia sini kupata huruma ya jamii ila malengo yao ni kuchukua vitega uchumi vya umma na kukusanya mapato wao kwa faida zao na sio umma mf mafuta , gesi , migodi , bandari , misitu na miji mikubwa pia
 
Kama ile kauli “KATA MTI PANDA MTI” ingekuwa binadamu basi ni hao jamaa hapo Mashariki Ya Kati.

Mzayuni mara hii hashikiki kama Kambale anafanya kutereza tu kwenye himaya za Mpalestine na washirika wake
 
Taifa teule Israel ubarikiwe
Watabarikiwa wanaokubariki ,watalaaniwa wanao kulaani.
Wewe ni mteule maana kwako tumepata masihi aliyeukomboa ulimwengu mwenye ufalme mabegani mwake. Mungu mwenye nguvu.
Ubarikiwe Israel🙏
Ubarikiwe Israel 🙏
Ubarikiwe Israel🙏
 
Back
Top Bottom