Kiongozi Hezbollah, Nasrallah anawambia Israel: "Mnataka vita, anzisheni muone

Waarabu wamepigwa sana na vita hii pia watapigwa.
 
Israeli kwa sasa ipo hoi kwa kweli Netanyahu akitaka kuisambaratisha Israeli apigane tena na husbullah ..kula hakutskuwa na kutumia food kama sihala
 
..hakutakuwa na vita mpaka uchaguzi Mkuu wa Marekani uishe mwezi November.
 
Waarabu wamepigwa sana na vita hii pia watapigwa.
BREAKING:

🇮🇱🇱🇧 Iwapo Israel itavamia, Lebanon itafurika na mamia ya maelfu ya wapiganaji kutoka Syria, Iraq na Yemen - Axios

Kitu ambacho tayari nimeandika jana.

Maafisa walifichua kuwa Marekani iliiambia Israel kuwa vita vichache nchini Lebanon vinaweza kuishinikiza Iran kuingilia kati na kuanzisha mzozo wa kikanda.

Lebanon inaweza kufurika na wanamgambo kutoka wanamgambo wanaoiunga mkono Iran nchini Syria, Iraq na Yemen.

Ndio maana Marekani inajaribu kutuliza hali kwenye mpaka kati ya Lebanon na Israel, lakini pia wanahofia kuwa Israel itaingia vitani.

t.me/megatron_ron
 
kwa Hamas mshahama ? kwann hamuonei huruma wana Lebanon ?
 
kwann hawajaenda Gaza ?
 
kwa Hamas mshahama ? kwann hamuonei huruma wana Lebanon ?
Israel ndiyo wanahama vipi mateka nasikia wamewapata.

Mabasha zako wanajua mziki wa Lebanon.

NEW:

🇮🇱🇱🇧 Hebrew Media complains that Hezbollah wants war:

'Hezbollah refuses any attempts at de-escalation or diplomacy with Israel.

Hassan Nasrallah simply ignores every Israeli proposal'
 
Maafisa walifichua kuwa Marekani iliiambia Israel kuwa vita vichache nchini Lebanon vinaweza kuishinikiza Iran kuingilia kati na kuanzisha mzozo wa kikanda.
Israel ikichangiwa itasababisha US UK na wenzake waingie Mwarabu atashindwa vibaya.
Na hapo Lebanon Wakristo watakuwa ni upende wa Mzayuni.
 
Israel ikichangiwa itasababisha US UK na wenzake waingie Mwarabu atashindwa vibaya.
Na hapo Lebanon Wakristo watakuwa ni upendeao wa Mzayuni.
Wewe hata ufahamu unachoongea unaongea fikra za kilokole.
 
Wewe hata ufahamu unachoongea unaongea fikra za kilokole.
Msikiti wa Al Aqsa unabomolewa sijui utafanyaje?!

Hicho Kiwanja mlichojenga Msikiti kimeporwa kilikuwa ni Hekalu la Waumini wa Kiyahudi.

Ukweli unazidi kujidhihirisha.
 
Majeshi ya IDF yanaweza kuingia Lebanon Syria na kutoa Dozi mbalimbali US akubali kutoa Air Cover yanaweza kwenda hadi Saudi Arabia.
 
Majeshi ya IDF yanaweza kuingia Lebanon Syria na kutoa Dozi mbalimbali US akubali kutoa Air Cover yanaweza kwenda hadi Saudi Arabia.
Hahahha Majeshi gani ya mashoga hawa wa Israel Gaza tu inazidiwa na Kigamboni kwa ukubwa mwezi wa 9 sasa wameshindwa kuingia wametoa majeshi ya ardhi wamebaki kushambulia watoto na majengo kwa drone.

Kwa mara ya kwanza tangu Oktoba 7 ndege isiyo na rubani ya Hezbollah ilifanikiwa kupenya kilomita 35 ndani ya ardhi ya Israel.

Mfumo wa ulinzi wa Israel haukuweza kuiangusha na ndege hiyo isiyo na rubani ililipuka katika eneo la Kfar Yehezkel.

Hezbollah Wanataka vita kwa nguvu wameishajua hawa mashoga waupe unadhani Israel itabaki salama😀
 
Shoga huwa anashabaha sana au hujui Hezbola Supply yao ya Silaha inatoka Iran kwa Ayatolah zinabidi zipitie Jangwani huku zinawindwa Israel Airforce lakini IDF ina Stock ya kutosha na Supply yao ni US UK na EU.

Do the Maths kama IDF itakubali kuingia kwenye Vita ya muda mrefu na Hezbola Hezbola warachapwa.
 
Nimeshtuka ulivyoniambia shoga ana shabaha daaah ahsante sana na zawadi yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…