Kiongozi Hezbollah, Nasrallah anawambia Israel: "Mnataka vita, anzisheni muone


KWA SASA ANASEMAJE? Ritz
 
Mwisho wa siku aliutaka na kaupata
 
Anajua yeye ndio next
 
3 month later. ISRAELI SAYS NASRALLAH KILLED....
 
Hahaaaaa, anachonjea wengine ilhali yeye anaogopa mauti. Anajificha nini sasa?
 
Hahaaaaa, anachonjea wengine ilhali yeye anaogopa mauti. Anajificha nini sasa?
 
Vipi anaendeleaje baada ya hii mikwara yake? Inasikitisha sana.
 
Ni mwendo wa kupeleka moto tu, hakuna huruma
 
Sasa hivi anakanidhiwa zile nini sijui 72. Kuna vitu vya kufanyia masihara lakini sio vita. Ninachokiona ni kuwa iran proxies wako vizuri mdomoni tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ