Kiwalani finest
Senior Member
- Jul 6, 2024
- 116
- 85
Mfano Diwani
Fulani
Kusimama kwenye Mkutano wa Wananchi na kisha kuwaeleza
Mtake
Msitake
Mimi ndiyo Diwani wenu
Na
Kweli
Kwa nguvu zaaaaaaa
Akashinda
Akawa haosomi Mapato na Matumizi
Haguswi kama sigara zinavyouwa watu Million nane na laki mbili kwa mwaka huku zikiandika kwenye packeti zao Onyo uvutaji wa sigara unadhuru afya yako na hivyo kuikiuka katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ibara 14 uk 21 na ibara 26(1)(2) ibara 09 a,b f na h ibara 29(1)(2)
Wanaguswa kukefywakefywa
Wavuta bangi isiyouwa na wezi wa kuku huku tukisisitiza usawa na watu kutendewa haki kama ibara 12(1)(2) na 13(1)(4)(5) zinavyotuamuru