Tetesi: Kiongozi mashuhuri upinzani kitimkia CCM wakati wowote kuanzia sasa

Tetesi: Kiongozi mashuhuri upinzani kitimkia CCM wakati wowote kuanzia sasa

Tlaatlaah

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2023
Posts
24,665
Reaction score
25,388
Je, ni nani na ni kutoka chama gani cha upinzani?

Ni suala la muda tu linalosubiriwa ili muungwana huyo aweke wazi uamuzi wake huo muhimu, ambao pia ni haki na uhuru wake kikatiba.

Ni muhimu kua wastahimilivu na wenye subra.

Unahisi amechochewa na nini kufikia na kuchukua uamuzu huo?
 
je,
ni nani na ni kutoka chama gani cha upinzani?

ni suala la muda tu linalosubiriwa ili muungwana huyo aweke wazi uamuzi wake huo muhimu, ambao pia ni haki na uhuru wake kikatiba.

ni muhimu kua wastahimilivu na wenye subra.

unahisi amechochewa na nini kufikia na kuchukua uamuzu huo? :pulpTRAVOLTA:
Atakua kafika bei maana ccm ni majizi na majitu ya rushwa
 
je,
ni nani na ni kutoka chama gani cha upinzani?

ni suala la muda tu linalosubiriwa ili muungwana huyo aweke wazi uamuzi wake huo muhimu, ambao pia ni haki na uhuru wake kikatiba.

ni muhimu kua wastahimilivu na wenye subra.

unahisi amechochewa na nini kufikia na kuchukua uamuzu huo? :pulpTRAVOLTA:

Aende asiende atajijua mwenyewe............

Kwa kifupi watanzania saivi mambo ya vyama vingi hawana mpango nayo
 
Sio kwamba anakuja kuleta mabadiliko yenye mashiko,anakimbia njaa huko.
Nasijui kwanini watu hawayaoni haya?
Haya makapi ni kuwadhalirisha Watanzania.
Kama kweli wana hekima si wanzie huko walikotoka wapandishe chama chao kama premier league ya mpira?
Ni masikitiko kuona mtu anasimama jukwaani akizungumzia mtu badala ya sera au issues za kitaifa.
 
Hakuna Cha ajabu maana njia ile ile iliyompeleka Upinzani, ni njia hiyo hiyo inampeleka CCM. It's life as usual
 
Wanafika Bei Sasa
Huu Upuuzi Wa CCM Sijui Utaisha Lini
 
Back
Top Bottom