Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 28,722
- 20,610
Mwaka huu ndio Mwisho wa upinzani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo ni ZUBERI ZITO KABWEJe, ni nani na ni kutoka chama gani cha upinzani?
Ni suala la muda tu linalosubiriwa ili muungwana huyo aweke wazi uamuzi wake huo muhimu, ambao pia ni haki na uhuru wake kikatiba.
Ni muhimu kua wastahimilivu na wenye subra.
Unahisi amechochewa na nini kufikia na kuchukua uamuzu huo?
Una maanisha Lemala? Sasa jimbo la chuga si itakuwa Hatari au Mrisho ndio kwisha?Hapa mkekani naona Mcanada na …
Mbona kila siku ni kuanzia sasa, hiyo sasa ni ya sasa ya sasa au sasa ya baada ya sasa ya sasa!Je, ni nani na ni kutoka chama gani cha upinzani?
Ni suala la muda tu linalosubiriwa ili muungwana huyo aweke wazi uamuzi wake huo muhimu, ambao pia ni haki na uhuru wake kikatiba.
Ni muhimu kua wastahimilivu na wenye subra.
Unahisi amechochewa na nini kufikia na kuchukua uamuzu huo?
Muda utazungumzaLazima uwe bwege wa akili kufikiria Lisu anaweza kwenda chama cha majitu maovu.
Lisu was born clean, is living clean, will die clean. No way he can afford getting contaminated by CCM evils.
Abdul in ActionJe, ni nani na ni kutoka chama gani cha upinzani?
Ni suala la muda tu linalosubiriwa ili muungwana huyo aweke wazi uamuzi wake huo muhimu, ambao pia ni haki na uhuru wake kikatiba.
Ni muhimu kua wastahimilivu na wenye subra.
Unahisi amechochewa na nini kufikia na kuchukua uamuzu huo?
Angalia usije kufa wewe mdomo wazi na kyundu wazi.Waondoke wote ili chadema ife kabisa
huwa nakuaminiHapa mkekani naona Mcanada na …
haiwezekani nasema HAIWEZEKANI KAMWE, Yani watu wampige risasi zaidi ya 12 alafu aje ajiunge nao KAMWE, KAMWE, KAMWE FUTA AKILINI NA HATA MAKALIONI,Angalia mkeka wako, Vipi kuhusu Mubelijiji?
Waondoke wote ili chadema ife kabisa
Naaam umenena vemaUsipende kuombea kifo CHADEMA, unaweza kufa wewe CHADEMA ukaiacha.