Tetesi: Kiongozi mashuhuri upinzani kitimkia CCM wakati wowote kuanzia sasa

Huyo ni ZUBERI ZITO KABWE
 
Mbona kila siku ni kuanzia sasa, hiyo sasa ni ya sasa ya sasa au sasa ya baada ya sasa ya sasa!
 
Lazima uwe bwege wa akili kufikiria Lisu anaweza kwenda chama cha majitu maovu.


Lisu was born clean, is living clean, will die clean. No way he can afford getting contaminated by CCM evils.
Muda utazungumza
 
Abdul in Action
 
Nadhani mnawaza Lissu ,niwaambie tu kwa jinsi mlivyomfanyia LISSU hawezi kua CCM kamwe labda awe mfu.

NB:Kuhama chama inawezekana ila sio CCM kwasababu walitaka kumtoa roho.
 
Angalia mkeka wako, Vipi kuhusu Mubelijiji?
haiwezekani nasema HAIWEZEKANI KAMWE, Yani watu wampige risasi zaidi ya 12 alafu aje ajiunge nao KAMWE, KAMWE, KAMWE FUTA AKILINI NA HATA MAKALIONI,

Lissu anaweza kuhama CHADEMA lakini atakwenda kwingine sio, sio kamwe CCM. Hata kama kesho CCM wakianza kunya dhahabu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…