Kafuatilia gawio lake la benk aliyonunua huko DRC Hana jipya.Hovyo kabisa,ameshindwa kupatanisha wenzako huko waache ukabila,aende DRC aweze,vichekesho kabisa aise!
Ukanda wote huu tumechukua nafasi ya baba lao, kumbuka hata Tanzania mkiwapiga wanasiasa wenu marisasi kimbilio lao huwa huku.
BBI imefikia wapi?
WivuHovyo kabisa,ameshindwa kupatanisha wenzako huko waache ukabila,aende DRC aweze,vichekesho kabisa aise!
Hapa kwa kuchagua VP mwanamke nawapa Kongole sana. Halafu nafurahia kuona jinsi hao polisi wa Botswana wanavyo inamisha kichwa kwa heshima.
Halafu Magufuli anaogopa sana kupanda ndege. Sijui ni kwa nini. Yupo kama Mzee Moi ambaye pia aliogopa kupanda ndege, alikuwa anatuma watu wamwakilishe. Mbona madikteta huwa wanaogopa kupanda ndege?
You have a humorous way of dealing with this bongo. Mimi sinanga hiyo patience, nawachapa tu kavukavu. 😂 😂 😂Ukanda wote huu tumechukua nafasi ya baba lao, kumbuka hata Tanzania mkiwapiga wanasiasa wenu marisasi kimbilio lao huwa huku.
Kabisa. Real arrogant, proud Kenyan who says what he means and mean what he says. Hapo pa uchafu ndio umekosea because Kenyans are way cleaner than Tanzanians. Only Rwandese are cleaner than Kenyans in this region. Hapo pa selfish pia umekosea maanake Kenyans are the most generous in the region ndio maana munaleta huku ombaomba wenu. Msikie mwanadada wenu akisema Kenyans are generous and Tanzanians are selfish. Jump to 2.26 and listen.Ww ndo mkenya haswaa. Maana sifa mojawapo wa wakenua meno ni hio..arrogance. Selfish, uchafu na mengine malizia. Wenzako wanajitaid kutoka unawaona wamekosea..pure kenyan congole zako
In life, mimi nikikutana na mtu friendly saaana ama mtu salamu zake ni zile za, 'mimi ni bro/sister so and so nimeokoka na Yesu ni bwana' naichukulianga kama red light. Yaani from life experience, the people who try to sound nice and harmless wanakuanga watiaji na wanajaribu kuficha kitu. But ule msee anakuwanga rude, frank and straight to the point, that's the best person. You'll realize he's honest and with nothing to hide. Hana utiaji, ukimuudhi atakuambia ukweli.Haiya, huyu ni Mtanzania kweli, sijapata kuona Mtz so outspoken, frank, open and brilliant, sema kwa hilo la yeye kusema sisi tuko rude, ni ile kwamba tumelelewa kwenye makuzi tofauti, wao ndani ya Ujamaa ambapo unakuta kwa mfano Mtz anaweza akakusalimia mara kumi kwa siku, yaani kila mkipishana lazima usikie "za tangu" - aidha za tangu asubuhi, za tangu mchana, za tangu, za tangu za tangu.
Tatizo hizo za tangu, hauwezi ukamjibu hali ilivyo maana hatakusaidia, kwa mfano ukimwambia umefulia huna hela (si amekuuliza za tangu) sasa badala akusaidie ataona kama "rudeness" kumpa jibu ya hali yako, inabidi umwambie njema tu, yaani eti huo ndio ustaarabu, na kama vipi atakutangaza hadi basi ikitokea umemjibu ukweli wa hali yako ilivyo.
In life, mimi nikikutana na mtu friendly saaana ama mtu salamu zake ni zile za, 'mimi ni bro/sister so and so nimeokoka na Yesu ni bwana' naichukulianga kama red light. Yaani from life experience, the people who try to sound nice and harmless wanakuanga watiaji na wanajaribu kuficha kitu. But ule msee anakuwanga rude, frank and straight to the point, that's the best person. You'll realize he's honest and with nothing to hide. Hana utiaji, ukimuudhi atakuambia ukweli.
Mbona ss tuliwapatanisha PEV 2007,na hatusemi?Wivu
Kwa hivyo unadharau waafrika sana. Yaani ingekuwa kawapatanisha wazungu ungepata nyege sana.Madogo sana haya,
Mi nirifikiri anaongoza kuwaapatanisha Armenia na azbeijan kuhusu eneo la nargonor karabakh,
Kumbe issue yenyewe ya hapo kongo tu