Sisi tumekomboa almost half of Africa, tumewapatanisha mlipochinjana 2008, tumemfukuza Idd Amin, tumeleta amani Commoro na Sychelles, Tumefuta M23, sasa hivi tupo Msumbiji tunawachapa bakora magaidi wa kiislam, kweli mnataka kujilinganisha na sisi?
Hakuna nchi yoyote hapa Africa inayoweza kujilinganisha na Tanzania.