fimboyaukwaju
JF-Expert Member
- Aug 3, 2020
- 6,699
- 9,323
Allah ni jina tu mfano Mulungu hivyo Mungu ni MunguMungu gani Allah?
Allah ni jina tu mfano Mulungu hivyo Mungu ni MunguMungu gani Allah?
Amirul.muuminun ndio anajificha kwenye fox holesPropaganda feki ya kuzusha taharuki. Yule ni Amirul Muuminuun, hakimbii mapambano.
No hata angefanya hivyo wangemuua tu kwani ndio lengo laoIran hawezi shinda vita dhidi ya Israel coz atakuwa ameishinda Marekani jambo ambalo hakiwezekn.
Chamsingi angefanya mawili ya muhimu
1. Akubali an out offer kabla hajaathirika zaidi afu atoe Nukes
2. Awekeze kama miaka kadhaa aje kama Kiduku bila kuhofia chochote kuhusu Vikwazo hapo ndipo ataona utulivu
Kiduku amewekeza nn, kwa ufupi kiduku Hana madharaIran hawezi shinda vita dhidi ya Israel coz atakuwa ameishinda Marekani jambo ambalo hakiwezekn.
Chamsingi angefanya mawili ya muhimu
1. Akubali an out offer kabla hajaathirika zaidi afu atoe Nukes
2. Awekeze kama miaka kadhaa aje kama Kiduku bila kuhofia chochote kuhusu Vikwazo hapo ndipo ataona utulivu
Mjinga huyo! Apotee forever!
Nuclear weapons hazizuiliki na bomb la Iron Dom mzeeKiduku amewekeza nn, kwa ufupi kiduku Hana madhara
Hilo sijui lakini najua atauawa ndani siku 2 zijazoBila Ayatollah kuondolewa Iran itaendelea kuwa taifa la hovyo.
Mtu asiye ogopa kufa atishwe kufa, akilindwa ni sheria ya nchi tu lakini Ayatollah Khomen haogopi kufa.Propaganda feki ya kuzusha taharuki. Yule ni Amirul Muuminuun, hakimbii mapambano.
Mungu Wa MajeshiMungu gani? Huyu wa Israel au yule aliyeandika Qur'an?
Khomen? Teh! Na bado.Mtu asiye ogopa kufa atishwe kufa, akilindwa ni sheria ya nchi tu lakini Ayatollah Khomen haogopi kufa.
Mungu au Allah!!?Mungu amlinde ayatolah
Huyo Allah na Jehovah/Yahwe ni mmoja!!??Allah ni jina tu mfano Mulungu hivyo Mungu ni Mungu
Hivi vidudu ndio unaviweka pamoja na Allah? Embu kuwa na adabu na neno AllahHuyo Allah na Jehovah/Yahwe ni mmoja!!??
Acha utani wewePropaganda feki ya kuzusha taharuki. Yule ni Amirul Muuminuun, hakimbii mapambano.
Nenda kasome "Satanic Verses" cha Salman Rushdie ufumbuliwe macho kuhusu huyo "Allah" wako.Hivi vidudu ndio unaviweka pamoja na Allah? Embu kuwa na adabu na neno Allah