Kiongozi Mkuu Ayatollah Khamenei akabidhi madaraka muhimu kwa Baraza Kuu la Walinzi wa Mapinduzi (IRGC)

No hata angefanya hivyo wangemuua tu kwani ndio lengo lao
 
Bila Ayatollah kuondolewa Iran itaendelea kuwa taifa la hovyo.
 
Kiduku amewekeza nn, kwa ufupi kiduku Hana madhara
 
Huyu Mzee atakuwa anapitia wakati mgumu sana baada ya "mkwara" wa Mzee wa wigi kwamba wanajua alipojificha.
 
 

Attachments

  • 20250617_194946.jpg
    98.1 KB · Views: 20
  • 20250617_194929.jpg
    125.7 KB · Views: 19
Mahouth ya Yemen yanasemaje? Bado yanalipua meli Red Sea? Bado yanarusha mishale Israel? Teh!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…