Kiongozi Mkuu Ayatollah Khamenei akabidhi madaraka muhimu kwa Baraza Kuu la Walinzi wa Mapinduzi (IRGC)

Nenda kasome "Satanic Verses" cha Salman Rushdie ufumbuliwe macho kuhusu huyo "Allah" wako.
Wewe huna chakukifundisha hichi kichwa mzee HACHANANACHO nimesoma kila kitabu unachojua na usivyovijua.

Neno Allah ni neno nzito sana siku utayokuja kubali kuwa Mungu wako hakuwahi kuzaa, wala hakuna alimzaa, chochote kile ambacho akili yako inatengeneza Imagination ya kufana nae basi sicho na anafanya kazi yake mwenyewe bila msaidizi yeyote yule.

Basi siku hiyo utakuwa unamuongelea Allah, hili jina achananalo mzee
 
Kama Iran wangekuwa na Akili timamu wangechukua ushauri wako....ebu jiulize ni Nani alitegemea ayatollah angeishi Kwa kujificha ndani ya nchi yake? Au anga la Iran kutawaliwa na ndege za Israel Kwa wiki nzima?
 
Maandishi tuu, yanaonesha kwa jinsi ya ubovu wa elimu yako na akili yako.
 
US amejifichaaa mwishowe Sasa imebidi aseme wazi kuwa vita ni yake kumbe.
 
Si akilimbilie Korea Kaskazini au Urus!
 
Taarifa ina sema kajificha huko Larvizan, hata mimi sasa najua alipo ila sitaki auwawe.

Wakae wayajenge.

kama hataki wampeleke Russia akawe jirani wa Assad.
 
Ili Dunia itulie ni vyema wamalizane nae! Hii itasaidia pia kupunguza ukandamizaji wa haki za raia wa Iran
 
Wanadamu aiseee, yaani unapangwa kuuawa alafu unajulishwa mipango ya kukumaliza
 
Wee jamaa muongo Khamenei yupo Terehaviv, kwenye mashimo.
 
Hureee, domokaya likowongo!
Trump bwana!?hahitaji afisa habari wala msemaji ofisini kwake, anachohitaji ni mtu wakukalia kitichake wakati yeye mwenyewe anapofuatilia matukio, kutenge habari na kuzitangaza zikiwa bado motomoto!.
 
Sadiki ukipenda, jipe moyo vyuma vipo utosoni, Netanyahu haonekani kabisa na maneno yake ya kisengenge
 
Keshauawa jana wanaficha

Ayatollah hatunaye tena duniani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…