Tetesi: Kiongozi Mkuu wa Iran Ayatollah Ali Khamenei ameandaa mpango wa dharura wa kutorokea Urusi

Tetesi: Kiongozi Mkuu wa Iran Ayatollah Ali Khamenei ameandaa mpango wa dharura wa kutorokea Urusi

Endeleeni kujifariji na kujipa moyo!!! Lakini elewa kipondo kipo palepale!!
Unaona ulivyo ZWAZWA! Kipondo kipo pale pale au kinaendelea? Acha kuokota vijihabari vya x mtu kashiba tende anapost na wewe anachukua kama ilivyo
 
Huyo Myahudi, akimaliza kazi yake wanamtorosha kama Assad tu wa Syria. Wafata mkumbo ndio wanaangamia
 
Unaona ulivyo ZWAZWA! Kipondo kipo pale pale au kinaendelea? Acha kuokota vijihabari vya x mtu kashiba tende anapost na wewe anachukua kama ilivyo
Uwe unaelewa mimi si Mfuga Midevu na majini kama wewe!! Iran tayari keshaanza kuliwa taratibu!!
 
Subiri utapata matokeo kuna video nimeposti hujaziona? Au unajitoa ufahamu bure kusifia Iran ambaye tayari kachola?

Iran, vile vita vya mwezi Juni, vimeimaliza kabisa. Imenyong'onyea sana kiuchumi. Sasa hivi mwananchi wanaoishi chini ya mstari wa umaskini ni 50%. Inflation imefika 100%, yaani kiwango ambacho hakijawahi kufikiwa mahali popote Duniani!

Wairan wengi wenye uwezo wametoroka Iran, wameachwa maskini, tena wanaotoroka wanaenda kwenye nchi maadui wa Iran. Miaka ya karibuni, marekani pekee imepokea Wairan wapatao milioni 1.
 
Mungu atuweke
Hata kwa Magaidi wa Hamas,Hezbollah na Houth ulikuwa unasema hayo. Lakini baada ya magaidi hao kushindwa njama zao zote dhidi ya Israel uliamua kinyama za kimya wewe na wenzako akina Adiosamigo mdogoye Webabu gTurn na hawala yenu Ritz

Baada ya magaidi hao kushindwa sasa hivi unajifanya kusimama na Ayatollah nakuhakikishia safari hii pia utaangukia pua tu!!!!
 
BREAKING: Iranian media reports

🇷🇺🇮🇷 Russia has transferred Iskander missile systems to Iran, according to Iranian outlets.
The Iskander is a short-range ballistic missile system capable of carrying conventional or nuclear warheads, significantly raising concerns about regional escalation.

Iranian media claim the missiles were delivered today.

⚠️ No independent or official confirmation from Moscow or Tehran so far.
 
Kwa mujibu wa gazeti la The Times of Israel, Kiongozi Mkuu wa Iran Ayatollah Ali Khamenei ameandaa mpango wa dharura wa kutorokea Urusi iwapo vikosi vyake vya usalama vitashindwa kuzuia ghasia za nchi nzima.

Mpango huo unaripotiwa kujumuisha kutoroka Tehran na wanafamilia wa karibu na wasaidizi wakuu, akiwemo mwanawe na mrithi aliyekusudiwa, Mojtaba.

Hatua hiyo inaonyesha wasiwasi unaoongezeka ndani ya uongozi wa Iran huku maandamano yakiendelea kote nchini licha ya ukandamizaji mkali wa vikosi vya serikali.

------------------------------

Iran’s Supreme Leader Ayatollah Ali Khamenei has prepared an emergency plan to leave the country if mounting unrest overwhelms security forces and threatens his grip on power, according to intelligence findings reported by The Times.

The plan envisions Khamenei, 86, departing Tehran alongside a small group of close relatives and senior aides — fewer than two dozen people — including his son Mojtaba, who is widely viewed as a potential successor. The move would be triggered if Iran’s military or internal security units were seen as unwilling or unable to enforce orders, the report said.

An intelligence source cited by The Times said the leadership has already mapped out escape routes and logistical arrangements should conditions deteriorate rapidly. Former Israeli intelligence officer Beni Sabti told the newspaper that Russia would likely serve as Khamenei’s destination, saying Moscow remains the only country willing and able to provide him protection.

Sabti said Khamenei has long viewed Russian President Vladimir Putin favorably and considers Russia a cultural and political ally closer to Iran than Western states.

Source: Ynet News

View attachment 3525615

Ila CIA & MOSSAD Hawa jamaa ni noma sana lakini hawawezi kushindana na TISS.

TISS ndiyo baba lao kwa ubora kuliko hata hao MOSSAD na CIA
 
BREAKING: Iranian media reports

🇷🇺🇮🇷 Russia has transferred Iskander missile systems to Iran, according to Iranian outlets.
The Iskander is a short-range ballistic missile system capable of carrying conventional or nuclear warheads, significantly raising concerns about regional escalation.

Iranian media claim the missiles were delivered today.

⚠️ No independent or official confirmation from Moscow or Tehran so far.
Kwa taarifa yako tu Russia na China ni Matapeli waliokunywa toka mwaka 2024 wameuza kwa Venezuela Mifumo ya Ulinzi wa anga mingi sana na kuihakikishia nchi hiyo ulinzi wa anga lake kichekesho kilichotokea Mifumo hiyo iliyokuwa inapigiwa debe na watu hao ilishindwa kufanya kazi hazikuweza kuziona ndege za Marekani wala kuziangusha!!!!!!

Na sasa tutaona kichekesho Kingine tena kutoka Russia kwa magaidi wa Iran. Mwezi June 2025 tuliona anga la Iran likichezewa na ndege-vita za Israel kwa siku 12 hakuna ndege yeyote ya Israel iliangushwa na hiyo Mifumo ya ulinzi wa anga fake ya Russia. Ndege za Israel zilikuwa zinaingia na kutoka bila wasiwasi wowote kama hakuna mifumo ya ulinzi wa anga nchini!!!

Safari hii Iran atapigwa na Islander zake za MICHONGO!!!

View: https://x.com/gerashchenko_en/status/2008511827450200307?s=61
 
Hata kwa Magaidi wa Hamas,Hezbollah na Houth ulikuwa unasema hayo. Lakini baada ya magaidi hao kushindwa njama zao zote dhidi ya Israel uliamua kinyama za kimya wewe na wenzako akina Adiosamigo mdogoye Webabu gTurn na hawala yenu Ritz

Baada ya magaidi hao kushindwa sasa hivi unajifanya kusimama na Ayatollah nakuhakikishia safari hii pia utaangukia pua tu!!!!
We kenge huwa huoni mbali unadai Israel aliwapiga Iran hivi hukusikia kilio cha Israel akilia anamuambia USA hivi Iran anataka kunipiga 😆

Kuhusu Al Houth anamtisha USA ambaye ni baba na mfadhili wa dogo Israel awaogope Israel hahaha.

Hebu tazama leo kamuambia nini USA na Israel wakimgusa Iran

View: https://youtube.com/shorts/8yjISzPXphc?si=q2BBvsU0z63wqGBR

Hezbullah ni siasa ya nchi ndio mpaa mda hu wanamkataza kurudisha shambulizi lakini time itaongea.

Kuhusu Hamas, nani kakuambia Israel kawashinda Hamas, we endelea kuota tu kwanza si ulidai Hamas kakubali kusalimisha silaha haha kenge mmoja wewe.

Vita ni plan za mda mrefu sio mda mfupi, tazama madhara aliye ya pata Israel duniani ndio utafahamu nani mshindi kenge mmoja wewe.
 
Wewe Nguruwe hiyo video ya zamani kabla ya mbwa huyo kuuliwa!!!

Endelea tu kujifariji na kujipa moyo!!
 
Nilijua TU umetoa twita x Kwa yule jamaa yenu mossad payroll pro Israel mpiga propaganda za Iran, Ayatollah yupo na ni nightmare na hatendi popote na hakuna Cha kufanya. Na makombara Jana wametest mzigo mpya
Iran anapambana na watu wake wananchi wanachoma magari,majengo ya Serikali na chochote cha wanufaika wa Ayatollah.

Israel itakapokuja ni kumalizia masalia tu ya Ayatollah!!
 
Attachments

  • 1767934866930.mp4
    4.9 MB
  • VID_20260109_075646_019.mp4
    2.8 MB
  • 1767934773801.mp4
    765.9 KB
  • 1767934805483.mp4
    1.4 MB
  • 1767934866930.mp4
    4.9 MB
Wewe Nguruwe hiyo video ya zamani kabla ya mbwa huyo kuuliwa!!!

Endelea tu kujifariji na kujipa moyo!!
Nikikuambia wewe ni kenge unabisha video iwe ya zamani au ya jana ujumbe wa Al Ansari lah ndio huo wa jana, utake usitake. Afu nani kakuambia Yahya Al Sareei kafa dalili zako ziko wapi
 
Iran anapambana na watu wake wananchi wanachoma magari,majengo ya Serikali na chochote cha wanufaika wa Ayatollah.

Israel itakapokuja ni kumalizia masalia tu ya Ayatollah!!
Israel au USA hawatagusa Iran kipigo walicho pewa si rahisi warudi Iran. Wataishia kuwatumia wajinga hao walio poteza billions ili wafanye fujo Iran.
 
Back
Top Bottom