Tetesi: Kiongozi Mkuu wa Iran Ayatollah Ali Khamenei ameandaa mpango wa dharura wa kutorokea Urusi

Karibu jamvini mkuu, tatizo unapiga spana kali mpaka unakula ban πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Mkuu wafuga midevu na majini mimi wananipiga vita sana humu kila siku wananiombea niishiwe Bundle kumbe mimi nilishanunua Bundle la mwaka mzima.

Jamaa hawa hawapendi kuambiwa ukweli. Na hawakubali kusema Israel ni mbabe wao wakati yeye Israel ndiye kiranja huko Mashariki ya kati.

Salama lakini Jana nilinunua Kilo 10 za nyama ya Nguruwe ili kusherehekea kifo cha Cha Gaidi Mfuga midevu na majini Mkuu Ayatollah Ali Khamenei wa Iran. Mchana huu bado sherehe inaendelea mpaka majogoo!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…