huyu babu dikteta anaelewa anachokizungumza. miaka 50 baada ya uhuru bara la Afrika bado linasuasua kimaendeleo.tatizo kubwa uongozi mbovu! hapa kunahitajika mjadala na waafrika waache unafiki wa kuzungumza mambo yasiyo na maslahi na nchi. mbona wazee wetu walituonyesha njia? akina mwl Nyerere.Kwame,Sekotoure na wengineo. ubinafsi wa viongozi na ukondoo wa wananchi unaiua Africa.
penye ukweli na pasemeke.tumemsema Mugabe mno no kiweli njia aliyojipatia ushindi siyo ya kihalali lakini ni nani Afrika ameingia fairly?Umwagaji damu mwingi na wizi wa kupindukia.Penye ukweli uongo hujitenga.
Huyu mzee anajua viongozi wote wa Africa hakuna aliyeingia kwa ridhaa ya wananchi ndo maana anawambia msafi na aseme, ndo maana nimesema kama waliandaa agenda inayohusu zimbabwe hawataiongea kwani wote wanajua hakuna hata mmoja atayeweza kusimama mbele ya mzee na kumweleza kuwa amefanya makosa wakati yeye yakwakwe bado yanalindima.[/QUOTE]
Na kama hii ni kweli its sad for our continet.
Na kama hii ni kweli its sad for our continet.
florida......!huko Nyuma Alimwambia Bush Kuwa Naye Asiseme Chochote,akamwambia Kama Anataka Kusema Kwanza Naye Aseme Kama Kweli Alimshinda Gore Kihalali.