Ila Comrage Mugabe ni Kamanda. Tuache yote, muhimu kamaliza jeuri ya wazungu!!!!!
Njaa, dhiki na hiyo inflation rate yenu ya 2,000,000% ni ya wazungu wala si mugabe. Yale mazungu yaliyonyang'anywa ardhi yamegoma kuzalisha, yamefunga viwanda na huku wajomba zao wa yuropa na marekani wakihimiza vikwazo. Ni upumbavu tupu, kudhani mugabe ndie anaeleta shida Zimbabwe!!!!! Ameongoza tokea 1980, Zimbabwe ilikuwa safi, uchumi bomba. Leo kaleta haki HAFAI!!!!
Ni ukoloni na utumwa. Kwamba mzungu amiliki ardhi, Mshona kibarua!!!!! Kinyume chake, Mugabe fashisti, dikteta, muuaji etc etc!!!!
Kweli mugabe amechoka, na ingekuwa busara apumzike, ila si kwa staili wanayotaka wazungu. Kama kweli wazungu wanataka demokrasia, mbona hawajaitambua HAMMAS palestine????
Kaza buti babaa!!!!