Mimi nikisema Waafrika Ndivyo Tulivyo naambiwa nina inferiority complex. Hivi huyo waziri wa mambo ya nje ya Kenya yeye ana haki gani ya kuhoji uchaguzi wa Zimbabwe? Kama Mugabe asitambuliwe then Kenya (Kibaki) should be held to the same standard......
Ila Comrage Mugabe ni Kamanda. Tuache yote, muhimu kamaliza jeuri ya wazungu!!!!!
Njaa, dhiki na hiyo inflation rate yenu ya 2,000,000% ni ya wazungu wala si mugabe. Yale mazungu yaliyonyang'anywa ardhi yamegoma kuzalisha, yamefunga viwanda na huku wajomba zao wa yuropa na marekani wakihimiza vikwazo. Ni upumbavu tupu, kudhani mugabe ndie anaeleta shida Zimbabwe!!!!! Ameongoza tokea 1980, Zimbabwe ilikuwa safi, uchumi bomba. Leo kaleta haki HAFAI!!!!
Ni ukoloni na utumwa. Kwamba mzungu amiliki ardhi, Mshona kibarua!!!!! Kinyume chake, Mugabe fashisti, dikteta, muuaji etc etc!!!!
Kweli mugabe amechoka, na ingekuwa busara apumzike, ila si kwa staili wanayotaka wazungu. Kama kweli wazungu wanataka demokrasia, mbona hawajaitambua HAMMAS palestine????
Kaza buti babaa!!!!
Nchi ikishauzwa ni vituko tu!
Mmesahau ya kina MKULO NA WENZAKE KINA MEMBE!
Nyie hamjui kinachoendelea!
Mugabe
Tunaolalama humu wote ni waTZ.Wazimbabwe wao haaa wanaona sawa tu.Mbona kwenye mikutano ya Mugabe nimeona watu kibao tuuu wakimshangilia????Hivi wao hawaoni hiyo hali ngumu mnayoisema????Wazimbabwe wamechagua style hiyo ya kuishi ninyi WaTZ mnakereekwa ama kweli waTZ ndo tulivyo.
Kama mna uchungu na Zimbabwe kajiandikisheni mpige kura basi.Ya kwenu yamewashinda mnakosoa ya Zimbabwe mna akili ninyi???Hayo ma muafaka yenu ya Makamba na Seifu ya nini sasa kama nyie mnajiona mnajua demokrasia.
Kama ni uzee mbona hamjaandamana KINGUNGE astaafu????Mnataka kuniambia kuwa nyie CCM mlikosa Makamu kijana hadi mmchukue Msekwa aliyekuwa amestaafu kwa hiari yake??????
Mugabe tatizo sio kuingia madarakani kihalali, tatizo ni wewe hauko tayari kutoa tax holiday kwa 'wawekezaji', tatizo lako hauko tayari kuingia mikataba ya Buzwagi, tatizo lako hauko tayari kutengenezewa marafiki wa dizaini ya Sinclair, tatizo lako hauko tayari kuruhsu mapesa ya EPA kuwekezwa kwenye mabenki ya 'wafadhili', tatizo lako hauko tayari kumwakikishia mkoloni access ya ulaji kama madikteta wenzio wanavyofanya. Rudi nyuma anza kugawa ardhi, machimbo ya madini na mashirika kwa 'wawekezaji' harafu usikie kama kutakuwa na kelele za human rights au democracy.
Two wrongs don't make one right! Mugabe ni fisadi, dikteta, mwuuaji! He has to go na on top of that AMEIBA KURA!!!!!!!! HE HAS TO GO!!!!!!! And in fact he should be tried and shot like Ceaucescu! Kumbukeni naye alikuwa 80 something na fisadi mkubwa na mke wake! Mugabe's days are numbered!
Quote fro BBC (http://news.bbc.co.uk/2/hi/africa/7481857.stm)
President Jakaya Kikwete of Tanzania, the African Union chairman, pointedly congratulated the people of Zimbabwe over the election, but not Mr Mugabe himself.
Africa's longest serving leader, Gabon President Omar Bongo, has given the strongest suggestion of recognising Mr Mugabe as president, saying "he was elected, he took an oath, and he is here with us, so he is president".