Uchaguzi 2020 Kiongozi mwandamizi wa Polisi anapogeuka mpiga kampeni wa CCM

August 15, 2019
Mkuranga Pwani, Tanzania

ASKARI AGOMA KUSALIMIA SALAMU YA CCM
Nimemkumbuka askari huyu mzalendo anayefuata maadili ya jeshi na katiba ya nchi huko Mkuranga Pwani aliyekataa kuburuzwa na makada wa CCM

CCM wana matatizo sana!!
 
Kwani uongo chama hicho ndio chenye serikali?
 
August 15, 2019
Mkuranga Pwani, Tanzania

ASKARI AGOMA KUSALIMIA SALAMU YA CCM
Nimemkumbuka askari huyu mzalendo anayefuata maadili ya jeshi na katiba ya nchi huko Mkuranga Pwani aliyekataa kuburuzwa na makada wa CCM

Naam! Amefanya vyema Huyo Corporal! Siyo kama lile jibwa linajiita arapisii wa chuga, huyu coplo ndo alitakiwa apewe "uarapisii" na yule arapisii akalambe viatu vya wanasiasa, jinga kabisa lile
 
Huyu polisi haelewi wajibu wake. CCM inapenda sana watu wasiyojielewa kama huyu.
Kuna ndugu yako yeyote Ni Police??? Au wote Ni wanasheria Kama Tundu Lissu???
 
Yupo sahihi! Ccm ni chama dola hivyo lazima atekeleze ilani yake na amri zake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…