Kiongozi mwenye Mapenzi mema na Tanganyika lazima atakutana na Mzee Warioba na anayeipenda Zanzibar atakutana na Othman Masoud OMO

Ni kweli. OMO aliachia nafasi ya mwanasheria mkuu wa Zanzibar kwasabb tu aliamua kusimama na Zanzibar wakati wa mchakato wa uundwaji wa katiba mpya 2014. OMO ni mzalendo wa kupigiwa mfano ambaye bado yu hai.
 
Othman ni mzalendo asiye na chembe ya unafiki.
 
Uanachama wake NCCR haumuondolei sifa yake ya kuipenda nchi yake ya Tanganyika.
Sina uhakika wa mahaba yake kwa nchi.Nchi inajumlisha ardhi,viumbe vyote na anga.Sasa kama anatoa kauli za chuki kwa viumbe wa nchi hicho kiwango cha mahaba kwa nchi lazima kitiliwe mashaka makubwa.
 
Othman ni mzalendo asiye na chembe ya unafiki.
Wazanzibari wote ktk suala la kuipenda nchi yao wako vizuri.

Angalia hata Samia, baada ya kuitawala Tanganyika anachofanya ni kuhamisha fedha zote kwenda Zanzibar.

Hivi sasa kule Zanzibar kila mzee analipwa kama Ulaya, Kila jengo la serikali (iwe, shule, zahanati ama kittuo cha polisi) linabomolewa na kuwa ghorofa.

Samia pia ni mzalendo sana kwa nchi yake ya Zanzibar.
 
wakati huo Watanganyika mmelala fofofo
 
  • Thanks
Reactions: G4N

Angalia hata Samia, baada ya kuitawala Tanganyika anachofanya ni kuhamisha fedha zote kwenda Zanzibar.

Hivi sasa kule Zanzibar kila mzee analipwa kama Ulaya,
Kila jengo la serikali (iwe, shule, zahanati ama kittuo cha polisi) linabomolewa na kuwa ghorofa.
Haya ndiyo mambo ya kushikiwa bango na wapinzani kampeni zikianza.

Watanganyika wakielimishwa vizuri pesa yao inavyopelekwa kulipa wazee Zanzibar wakati wao wanakufa kwa kukosa dawa, ccm wengi wataasi na kupigia kura upinzani.

Naamini Lissu anao uwezo wa kuuelimisha umma kwa kipawa chake cha kufafanua mambo magumu yakaeleweka hata kwa wasio na elimu kubwa.
 
Wazanzibari wote ktk suala la kuipenda nchi yao wako vizuri.

Angalia hata Samia, baada ya kuitawala Tanganyika anachofanya ni kuhamisha fedha zote kwenda Zanzibar.

Hivi sasa kule Zanzibar kila mzee analipwa kama Ulaya, Kila jengo la serikali (iwe, shule, zahanati ama kittuo cha polisi) linabomolewa na kuwa ghorofa.

Samia pia ni mzalendo sana kwa nchi yake ya Zanzibar.
Umenena vema siyo sawa hii Mitanganyika myienzetu iliyopata dhamana, inachekelea Kuangamia kwa Tanganyika kwa njaa njaa na uchawa. Utadhani wao familia na koo zao wana nchi nyingine mbadala
 
Watanganyika ni wabinafsi sana. Nina uhakika hamna mwenye uzalendo na Tanganyika tofauti na Wazanzibar
 
Back
Top Bottom