johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Ukipenda Tanganyika utazipenda Serikali 3 na Ukipenda Zanzibar utazipenda Serikali 3
Na Serikali 3 utazipata kwenye Rasimu ya Katiba Mpya ya Jaji Warioba ya 2014 kabla Shujaa Magufuli hajawa Rais
Ahsanteni sana 😄
Na Serikali 3 utazipata kwenye Rasimu ya Katiba Mpya ya Jaji Warioba ya 2014 kabla Shujaa Magufuli hajawa Rais
Ahsanteni sana 😄