johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Othman ni mzalendo asiye na chembe ya unafiki.Ni kweli. OMO aliachia nafasi ya mwanasheria mkuu wa Zanzibar kwasabb tu aliamua kusimama na Zanzibar wakati wa mchakato wa uundwaji wa katiba mpya 2014. OMO ni mzalendo wa kupigiwa mfano ambaye bado yu hai.
Wassira ni mwanachama wa NCCR-Mageuzi anayechukua uzoefu CCM.Wasira anaipenda sana Tanganyika, atakutana na Warioba? Nafahamu wana bifu la kisiasa toka kitambo jimboni Bunda japo hiyo ni personal.
Uanachama wake NCCR haumuondolei sifa yake ya kuipenda nchi yake ya Tanganyika.Wassira ni mwanachama wa NCCR-Mageuzi anayechukua uzoefu CCM.
Sina uhakika wa mahaba yake kwa nchi.Nchi inajumlisha ardhi,viumbe vyote na anga.Sasa kama anatoa kauli za chuki kwa viumbe wa nchi hicho kiwango cha mahaba kwa nchi lazima kitiliwe mashaka makubwa.Uanachama wake NCCR haumuondolei sifa yake ya kuipenda nchi yake ya Tanganyika.
Wazanzibari wote ktk suala la kuipenda nchi yao wako vizuri.Othman ni mzalendo asiye na chembe ya unafiki.
wakati huo Watanganyika mmelala fofofoWazanzibari wote ktk suala la kuipenda nchi yao wako vizuri.
Angalia hata Samia, baada ya kuitawala Tanganyika anachofanya ni kuhamisha fedha zote kwenda Zanzibar.
Hivi sasa kule Zanzibar kila mzee analipwa kama Ulaya, Kila jengo la serikali (iwe, shule, zahanati ama kittuo cha polisi) linabomolewa na kuwa ghorofa.
Samia pia ni mzalendo sana kwa nchi yake ya Zanzibar.
Watanganyika waliopo CCM wanamwimbia Mitano tenawakati huo Watanganyika mmelala fofofo
Haya ndiyo mambo ya kushikiwa bango na wapinzani kampeni zikianza.
Angalia hata Samia, baada ya kuitawala Tanganyika anachofanya ni kuhamisha fedha zote kwenda Zanzibar.
Hivi sasa kule Zanzibar kila mzee analipwa kama Ulaya, Kila jengo la serikali (iwe, shule, zahanati ama kittuo cha polisi) linabomolewa na kuwa ghorofa.
Kiboko ya wasira pale Bunda alikuwa Thomas Raban Makunenge ripWassira ni mwanachama wa NCCR-Mageuzi anayechukua uzoefu CCM.
Umenena vema siyo sawa hii Mitanganyika myienzetu iliyopata dhamana, inachekelea Kuangamia kwa Tanganyika kwa njaa njaa na uchawa. Utadhani wao familia na koo zao wana nchi nyingine mbadalaWazanzibari wote ktk suala la kuipenda nchi yao wako vizuri.