Kaambiwa atoe salama kwa niaba ya wapinzani wote.
Badala kakimbilia kutoa salamu binafsi!.
Kikwete anawachora wasiojua lolote, yeye na Membe ndio walioianzisha na kufadhili ACT. Wao ndio waliipa ACT fedha za kusimamisha wagombea ngazi zote nchini uchaguzi wa 2015, anashangaa nini mtu kuhamia kwenye nyumba ndogo ukikosana na familia yako?Kikwete: Niliumia sana Membe kuhamia ACT Wazalendo
Hili ni kweli kabisa.Kikwete anawachora wasiojua lolote, yeye na Membe ndio walioianzisha na kufadhili ACT. Wao ndio waliipa ACT fedha za kusimamisha wagombea ngazi zote nchini uchaguzi wa 2015, anashangaa nini mtu kuhamia kwenye nyumba ndogo ukikosana na familia yako?