PreGE2025 Kiongozi wa CHASO na BAVICHA Ukonga ahamia CCM, atubu na kuwaasa vijana

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Aliyekuwa Katibu wa Vijana wa Vyuo vikuu Mtandao wa Wanafunzi (CHASO) wa Mkoa wa Dar es Salaam na Mwenezi wa Baraza la Vijana wa CHADEMA Jimbo la Ukonga Ndugu Eliah Mlewa Rasmi amehamia Chama Cha Mapinduzi.

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Akizungumza katika Mkutano Mkuu wa Tawi la Chuo cha Kimataifa cha Kampala, Ndugu Mlewa alitumia jukwaa hilo kutubu na kueleza namna Vijana wa Chama alichotoka wanavyotumika vibaya kupora madaraka na hivyo kuwasihi vijana wenzake waliobaki kujitathmini na kurejea CCM.

CHADEMA IJISAHIHISHE
 
Mlewa kalewa
 
Sawa CHASO? Wanachuo na Siasa wapi na wapi? Siasa ndani ya Chuo tu sio kugusa Serikali
 
Aliyekuwa Katibu wa Vijana wa Vyuo vikuu Mtandao wa Wanafunzi (CHASO) wa Mkoa wa Dar es Salaam na Mwenezi wa Baraza la Vijana wa CHADEMA Jimbo la Ukonga Ndugu Eliah Mlewa Rasmi amehamia Chama Cha Mapinduzi.

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Akizungumza katika Mkutano Mkuu wa Tawi la Chuo cha Kimataifa cha Kampala, Ndugu Mlewa alitumia jukwaa hilo kutubu na kueleza namna Vijana wa Chama alichotoka wanavyotumika vibaya kupora madaraka na hivyo kuwasihi vijana wenzake waliobaki kujitathmini na kurejea CCM.

Amechelewa huyo dalali
 
Back
Top Bottom