Kiongozi wa Chechnya alia kutiliwa sumu

Kiongozi wa Chechnya alia kutiliwa sumu

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Kiongozi wa wapiganaji wa Chechnya (kundi la waislamu) ambao wanampigania Putin na ambao wanafahamika kwa ukatili uliokithiri, amelia lia kutiliwa sumu nusra afe...
Kuna kipindi aliomba kama vipi Putin abonyeze vitufe vya nyuklia tu maana wamechoka...

D0637322-CF41-42A9-A8C9-F3C2960B0971.jpeg

Chechnya's battle-hardened leader, assumed to be "terminally ill" after an alleged poisoning, shocked the world by surfacing in Moscow. Ramzan Kadyrov recently had an unexpected meeting with his overseer Russian President Vladimir Putin and vows to fight till the end in Ukraine.

He is a 46-years-old and is the leader of the Chechen Republic in the North Caucasus of Russia and he is one of Putin's closest allies. He has fought in conflicts all his life. He joined the Islamic separatists in the 1990s for Chechen independence after the collapse of the Soviet Union.

Soon he became the chief of security in Chechnya in 2003. He was then promoted to prime minister, but once he reached the required minimum age of 30 in 2007, Putin nominated Kadyrov as Chechen president. Known to rule Chechnya with an iron fist, many call him a pro-war zealot. He is reportedly a father of 14 with three current wives.
Kadyrov is often referred to as Putin's "foot soldier" owing to his allegiance to the Kremlin. Kadyrov has a militia in Chechnya which is ready to fight at Putin’s command. They're extremely feared and have been accused of torture, kidnappings and assassinations by various human rights, but the Chechen president has routinely denied the claims. Kadyrov has deployed his militia in Ukraine since the beginning of the war and has now vowed to Putin that he will fight until victory in Ukraine. Kadyrov, allegedly even sent his own teenage sons to Putin’s war. Soon after Russia’s invasion, he published a video of his sons, aged 14, 15 and 16, firing missiles in a shooting range.
Kadyrov has even advocated the use of nuclear weapons against Ukraine. For him, winning this war for Putin is everything. His emergence in Moscow surely hints at an even uglier turn in the Russia-Ukraine conflict.
Disclaimer: A number of claims and counterclaims are being made on the Ukraine-Russia conflict on the ground and online. While WION takes utmost care to accurately report this developing news story, we cannot independently verify the authenticity of all statements, photos and videos.
 
Samahani mkuu, jaribu kupunguza kuegemea upande fulani na vilevile kupunguza chuki dhidi ya upande fulani.Maandiko yako mengi kama siyo yote yamejikita zaidi kuuponda,kuukejeli,kuuchafua n.k upande fulani.

Upande fulani hata kama huupendi na unakukwaza kiimani na kimtazamo jaribu kuusifia mara tu unapofanya vizuri. Inauma lakini pia inaonyesha ukomavu wa kiakili.

Vyombo vya habari vya Kimagharibi hujitahidi kulifanya hili huku wakiumia lakini haiondoi ukweli kwani siku zote hauna tabia ya kujificha.

Wewe kwako Warusi na Waislamu hata wafanyeje hawana jema.Wakifanya mazuri kwako mabaya. Sijajua kama unatumika na kuna malipo unafaidika nayo lakini jaribu kubadilika.

Mimi naamini zaidi kwenye uweledi, hata kama wewe ni mfuasi wa Ukraine au Urusi unapotoa taarifa jaribu kuutafuta ukweli wake ingawaje ni ngumu lakini jaribu.

Nb 1: Njia nzuri ya kuondoa tofauti ni kuheshimiana.

Nb 2: Binaadamu wote tunategemeana.

Ni mtazamo tu!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Huo upande siuchukii ila nakuwa mkweli maana ni upande ambao umekua sababu za kero nyingi dunia hii, kuutajia ukweli wake sio kuuchukia.
Ni upande ambao umejikita kwenye kulazimisha wengine wawe kama ulivyo, ni upande unaoongoza kwa chuki dhidi ya wasio wa upande huo, ni upande ambao umeagizwa kabisa na muasisi wake kwamba usababishe maafa kwa wasio wa upande huo.
 
Kwa majibu yako haya mazuri tegemeo kuambiwa,,,,,,,,
Wewe ni mfuasi wa muarabu aliyebaka kitoto kidogo, njaa ya swaumu inakusumbua, wewe unasapoti ugaidi, n.k
Hata kama wewe si wa dini ya upande huo,,
Kifupi huyu MK254 Ni kubwa jinga na wengi tunampuuza na kumuona kama kituko kinachochangamsha baraza hapa jamiiforum,, kwao Kenya kimenuka sasa atuambie sijui ni maustadh na mashekhe ndo wanaokinukisha huko,, alafu kakaa kimya wala atupi mrejesho,, lkn kama ndo ingekuwa urusi, Iran, kinatokea kile kinachotokea kwao kenya angefungua nyuzi humu zisizo na idadi,,, mkuu huyu kubwa jinga ni mkenya..
 
Kazi kwenu nyinyi wakina abdala mnao mshabikia putin kwa ukatili wake eti mnasema putin anautetea uislam. Na wakati huohuo mmesahau putin alivyo wafyeka waislamu wengi tu kule siria kwa kutumia makundi yake ya kijinga kijinga kama hayo.

Putin mwenyewe aliwahi kusema yeye kazi yake sio kuwasamehe ila kuwawahisha kwa allah

1680419006005.jpeg
 
Kiongozi wa wapiganaji wa Chechnya (kundi la waislamu) ambao wanampigania Putin na ambao wanafahamika kwa ukatili uliokithiri, amelia lia kutiliwa sumu nusra afe...
Kuna kipindi aliomba kama vipi Putin abonyeze vitufe vya nyuklia tu maana wamechoka...

D0637322-CF41-42A9-A8C9-F3C2960B0971.jpeg

Chechnya's battle-hardened leader, assumed to be "terminally ill" after an alleged poisoning, shocked the world by surfacing in Moscow. Ramzan Kadyrov recently had an unexpected meeting with his overseer Russian President Vladimir Putin and vows to fight till the end in Ukraine.

He is a 46-years-old and is the leader of the Chechen Republic in the North Caucasus of Russia and he is one of Putin's closest allies. He has fought in conflicts all his life. He joined the Islamic separatists in the 1990s for Chechen independence after the collapse of the Soviet Union.

Soon he became the chief of security in Chechnya in 2003. He was then promoted to prime minister, but once he reached the required minimum age of 30 in 2007, Putin nominated Kadyrov as Chechen president. Known to rule Chechnya with an iron fist, many call him a pro-war zealot. He is reportedly a father of 14 with three current wives.
Kadyrov is often referred to as Putin's "foot soldier" owing to his allegiance to the Kremlin. Kadyrov has a militia in Chechnya which is ready to fight at Putin’s command. They're extremely feared and have been accused of torture, kidnappings and assassinations by various human rights, but the Chechen president has routinely denied the claims. Kadyrov has deployed his militia in Ukraine since the beginning of the war and has now vowed to Putin that he will fight until victory in Ukraine. Kadyrov, allegedly even sent his own teenage sons to Putin’s war. Soon after Russia’s invasion, he published a video of his sons, aged 14, 15 and 16, firing missiles in a shooting range.
Kadyrov has even advocated the use of nuclear weapons against Ukraine. For him, winning this war for Putin is everything. His emergence in Moscow surely hints at an even uglier turn in the Russia-Ukraine conflict.
Disclaimer: A number of claims and counterclaims are being made on the Ukraine-Russia conflict on the ground and online. While WION takes utmost care to accurately report this developing news story, we cannot independently verify the authenticity of all statements, photos and videos.
Ukimaliza upost na hivi mnavyomalizwa na njaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Screenshot_20230401-200725.jpg
 
Huo upande siuchukii ila nakuwa mkweli maana ni upande ambao umekua sababu za kero nyingi dunia hii, kuutajia ukweli wake sio kuuchukia.
Ni upande ambao umejikita kwenye kulazimisha wengine wawe kama ulivyo, ni upande unaoongoza kwa chuki dhidi ya wasio wa upande huo, ni upande ambao umeagizwa kabisa na muasisi wake kwamba usababishe maafa kwa wasio wa upande huo.
Hapa napo unaongea uongo wa wazi dhidi ya Uislamu (ukitumika neno upande) na kuonesha chuki yako ya wazi wazi ukiukwepesha ukweli. Hivi kweli, leo hii ukiulizwa taifa ama watu wanaoleta machafuko duniani utasema ni uislamu badala ya Marekani na Israel?

Jaribu kusimama katika ukweli na uondoe chuki na ushabiki then ihoji akili yako huku ukiangalia machafuko mengi yanayotokea ktk sehemu kadhaa hapa duniani.

Nakupa mifano michache:
Kumekuwa na vita kule Iraq je unajua ni nani chanzo ama aliyeivamia nchi hiyo hata kuua maelfu ya watu na miundombinu pale? Je Iraq ni nchi inayokaliwa kwa sehemu kubwa na watu wa Imani gani?
Je Afghanstan, Libya, na sasa Syria ni nani ameleta madhira na kuua watu ktk nchi hizo kwa ubabe tu? Ukiangalia hizo nchi zote ni za kiislam kwq sehemu kubwa ila ni Mmarekani ndio amezivamia na kuendeleza udhalimu dhidi ya Waislamu. Je hili wewe hulijui?
Kule Ukraine ni mmarekani ndio yupo kidete upande wa Ukraine akisaidiana na nchi washirika wa Nato kuingia kwenye mgogoro usiomuhusu kutumia nchi hiyo kama sehemu ya kuuzia siraha na majaribio ya siraha.
Yupo tayari hata taifa zima liteketee kwa maslahi yake binafsi.

Pia, Kule Israel kila siku Majeshi yake yanaua mamia ya waislamu wa Parestina kwa uonevu tu. Watu wanavamiwa kwenye makazi yao kule Ghaza na sehemu nyingine kwa dhurma tu. Haya nayo huyajui?

Russia, si nchi ya kiislam lakini waislamu wamenyanyaswa sn hapa duniani kwa muda mrefu. Ukiangalia sehemu kubwa ya nchi zilizovamiwa na Marekani, Nato na Israel na hata viongozi wake kuuliwa pia na kuacha nchi hizo kwenye machafuko na hali mbaya kiuchumi nakila kitu, ni za Kiislamu. Sawa ujio wa Mrusi ambaye anapingana na Mmarekani kimtazamo kwenye uonevu usio na msingi, kunaifanya jamii isiyopenda unyanyasaji kuona kama ni mkombozi.

Ila kwa wale ambao wameona dini yao na washirika wao wanaotetea ushoga ambao kwa miaka wamekuwa wakiendeleza ubabe na manyanyaso kwa nchi nyingine, hawajiskii vyema kuona Marekani yao inapigwa kwa lolote.

Mwisho. Napenda nikusihi ndugu, kuwa mkweli na usimame kwenye haki. Hakuna sehemu ambayo duniani hapa kuna vita ama machafuko makubwa ambayo source yake kubwa ni waislamu. Vita vikubwa vyote na baina ya nchi na nchi kwa sehemu kubwa ni hao hao ndugu zako wa LGTAQ na wengine. 'Penye ukweli uongo hujitenga'.
 
Ukweli mtaambiwa bila kuchukiwa hata mkilia vipi, unanipa mifano ya Marekani mara Israel, hao chochote wanachokifanya hawafanyi kwa ajili ya dini, kwa mfano Israel hupambana kujilinda kutokana na mashambulizi yenu yanayoongozwa na chuki na itikadi za dini yenu.

Hamna wafuasi wa dini yoyote duniani hufanya maovu kama ambayo mnafanya kwa ajili mungu wenu, watu mnajilipua mabomu na kuua na kuchinja yote mnasema kwa ajili mungu wenu.
Nilikua nadhani mnayafanya kwa ukichaa wenu tu ila nikaja kushangaa kumbe mumeagizwa kabisa kwenye kitabu chenu

Verses that instructs killings in quran
“Slay the unbelievers wherever you find them – 2.191”
“Terrorise and behead those who believe in scriptures other than the Koran – 8.12”
“Make war on the infidels living in your neighbourhood – 9.123”
“Do not hanker for peace with the infidels; nehead them when you catch them – 47.4”
 
Back
Top Bottom