Kiongozi wa Chechnya aponda na kukosoa majeshi ya Urusi kwa wao kukimbia uwanja wa mapambano

huyu ni mwijaku waputini
 
MK254 hii vita sasa imefika wapi? majeshi ya Russia bado yanapigana au yamepoa/retreat kwanza? Na hii imewezekanaje mana Russia ni super power?
Ramzan Kadyrov mwenyewe kakiri mambo mawili:
Kwamba majeshi ya Urusi yameharibu pakubwa ikiwa ni pamoja na kuacha silaha zake uwanjani;
Kwamba, anaamini kuwa raisi Putin hajui ukweli na kwamba yeye binafsi yuko tayari kumweleza Putin ukweli.

MY TAKE

Putin atanyoga makamanda wengi maana haambiwi ukweli, ukizingatia kuwa Ramzan Kadyrov mwenyewe ni mwajiliwa wa PUTIN, hakika patachimbika. Viva Ukrain
 
Habari hizi unazipa zaidi huku dunia ya 3, huku kwenye uwanja wa mapambano Ukraine hawana watu.

Ukraine war: Russians 'outnumbered 8-1' in counter-attack​

By Merlyn Thomas
BBC News

    • Published
      1 hour ago

IMAGE SOURCE,GETTY IMAGES
Image caption,

Ukraine says it regained 20 villages in Kharkiv on Sunday
Ukrainian forces outnumbered Russians by eight to one in last week's counter-attack in the Kharkiv region, Russia's top occupation official there says.
Vitaly Ganchev told Russian TV that Ukraine's army had taken villages in the north and broken through to the Russian border.
Ukraine says it has regained control over 3,000 sq km (1,158 sq miles) of territory in a potential breakthrough in the six-month war.
The BBC cannot verify these figures.
The Ukrainian army says it took back 20 villages in the past 24 hours alone, in its continued counter-offensive in the north-east of the country.
It also said its forces have taken control of around 500 sq km in the southern Kherson region of the country.

UK defence officials say the Ukrainian army's successes will have "significant implications" for Russia's overall operational design.
Kremlin spokesman Dmitry Peskov was however undeterred, saying operations in Ukraine would continue "until all the tasks that were initially set" had been fulfilled.
President Vladimir Putin is constantly being updated with the latest developments, he added.
Russia said its forces were carrying out strikes in those areas that Ukraine had retaken recently.
This included targets in Izyum and Kupiansk which were taken by Ukraine on Saturday. Russia confirmed its forces' retreat from both towns, which it said would allow them to "regroup".
Russia has been accused of targeting civilian infrastructure in revenge for setbacks on the battlefield.

A wave of missile strikes on Sunday caused power cuts across the region.

Media caption,
Watch: Widespread blackouts in Ukraine
The blackouts reportedly affected millions of people in the Kharkiv and Donetsk regions.
Ihor Terekhov, Kharkiv city mayor, called it a vile and cynical attempt at revenge for the Ukrainian army's recent successes.
Ukraine's Defence Minister, Oleksii Reznikov, said the priority now was to secure the territorial gains made in a week of rapid advances in the Kharkiv region.
The Russian army appears to have abandoned large quantities of equipment and ammunition as it withdrew from areas it had held since the first weeks of the war.
A Russian battle-tank maker has switched to "round-the-clock" production after these setbacks, according to reports.

Workers at Uralvagonzavod in Nizhny Tagil, Russia's largest armoured vehicle manufacturer, have reportedly not been allowed to go on vacation due to the "production necessity".
 
which was that anyway
 
Mpaka hawa naskia wametoka baruuu
Yeye mwenyewe huyo mbabe wa kivita kasema hataki uongozi tena wa Chechnya
Kasema washike wengine uongozi Chechnya baada ya kuona moto wa Ukraine kuitwanga Urusi

Mwanzoni alijitia ohh niko tayari kwenda kusaidia Urusi iniachie niingie mji mkuu wa Kyiv baada ya kuona kipigo walichopata special elite forces wa Urusi Kyiv wakatoroka kukimbia vita na yeye akatangaza hataki tena kuendelea kuongoza Chechnya anataka wengine washike!!
Special elite forces wa Urusi ambao Urusi hujivunia operation za kuteka miji kwa masaa walikufa kama kuku Kyiv ambako walikuwa wamejipa muda kuwa ndani ya masaa 72 mji mkuu wa Kyiv lazima uwe mikononi mwa Urusi lakini miwili yao alishia kuwa mikononi mwa Kyiv wakiwa wengi marehemu asilimia kubwa.Ndipo military planners wa Russia wakajitia ohh hatu concentrate tena Kyiv tunaenda eneo la Donbas lililo mipakani na Urusi na kujitia ohhh Mission in Kyiv Accomplished we have destroyed their military capability kumbe uongo wanakimbia kipigo

Huko miji mingine ya mipakani wametwangwa wanakimbia vita !! Baada ya kipigo!! mkuu wa majeshi Urusi kwenye TV ya taifa alitangaza anasema wanarudi nyuma ku regroup !! Baada ya kipigo kikali cha Himars kilichofanya waachie maeneo muhimu ya reli na daraja wanayotumia kusafirisha vifaa na Askari kwenda kupiga Ukraine

Sasa hivi wamekuwa cut off eneo la Reli na daraja kuu yako mikononi mwa wanajeshi shupavu wa Ukraine wakiwa na Makombora ya Himars kumuonyesha cha mtema kuni mrusi
 
Putin!!! Putin!! Putin!! Ulijipima skirt isio kuenea. Happy ndio dogo Zele anasumbua hivyo je wangekuwa NATO ? Kiukweli Russia hawatutendea haki washabiki wao PUTIN inapaswa ajiuzuru tu.
 
Kuna wakati Kremlin huwa inamchoka na maujinga ujinga yake yakipitiliza wanamwita kumuonya, kama boxing za watoto alizokuwa akiendesha.
Huyu chawa WA Putin Kwanza ni puppet aliowekwa Kwa hisani ya Putin hapo madarakani
 
Workers at Uralvagonzavod in Nizhny Tagil, Russia's largest armoured vehicle manufacturer, have reportedly not been allowed to go on vacation due to the "production necessity".
Hii inamaana kuwa nchi yote ya Urusi iko vitani: viwwanda muhimu sasa watumishi wake hufanya kazi masaa mengi bila mapumziko
 
Kwenye hizi mbinu za kivita za kisasa, US na UK hawana mpinzani. Jamaa ni mafia hawa eneo hili.
 
Ni kama jiwe, yeye alikuwa anapenda kuambiwa ukweli tu na kusifiwa. Madikteta wana tabia hii, kibano anachopewa putin kwa sasa si mchezo, na kama pesa basi ameshapoteza za kutosha hapo Ukraine.
 
Putin!!! Putin!! Putin!! Ulijipima skirt isio kuenea. Happy ndio dogo Zele anasumbua hivyo je wangekuwa NATO ? Kiukweli Russia hawatutendea haki washabiki wao PUTIN inapaswa ajiuzuru tu.
Hahahaha alijipima nini isiyemuenea? Hahahaha Jf bhaaana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…