T14 Armata
JF-Expert Member
- Mar 7, 2017
- 12,362
- 41,886
Misaada ilitoka 72hrs later baada ya Kyiv kutoanguka.Hiyo kauli ilikua ni kabla USA na NATO hawajaingia kuisaidia Ukraine.
Na kwa hiyo Kiev haikuanguka kwa sababu ya misaada kama hiyo.
Hujui kitu wewe nyamaza hata wewe huwezi kuwa vitani na unaweza kupata taarifa zote kwa usahihi. Lazima ulipe watu wafanye kazi hizo. Military intelligence ni tofauti na battlefield intelligence (IPB).Sasa kumbe ukreni ushiriki wake ulikua eneo Gani katika hii vita kama Hadi taatifa za kiinterejesia zilikua zunatoka USA na nchi nyingine washirika?
Mzeeenuki deep hawajui hao labda uwafungulie codeHujui kitu wewe nyamaza hata wewe huwezi kuwa vitani na unaweza kupata taarifa zote kwa usahihi. Lazima ulipe watu wafanye kazi hizo. Military intelligence ni tofauti na battlefield intelligence (IPB).
Kwa iyo unamsema Yeriko nyerere, kila kitabu chake cha Moscow.............Haya yote tuliyaandika humu kia Ukraine ni sisismizi TU mbele ya Urusi na kia anaepigana na Urusi na NATO na NATO ni USA mkatubishia weeeee.
Mkawaleta na watu humu wanajifanya wanjua Kila kitu na kuandika makala ndeeweefu kumbe pumba TU.
Majibu yametoka vile vile.
Sasa Kiko wapi?
Dah sasa kwanini lakini..US hawana huruma kabisa si watasababisha Ukraine Ipigwe kama paka mwiziWakuu,
Baada ya kukata misaada ya kifedha na misaada ya silaha Ukraine sasa Trump ameamua kuikatia Ukraine taarifa zote za kijasusi na za kiusalama zinahusiana na vita yao dhidi ya Urusi.
Taarifa hii imetolewa muda mchache uliopita na gazeti la Marekani la Financial Times ikiwa pi ni siku chache tangu ugomvi mkubwa utokee kwenye Ofisi ya Rais wa Marekani kati ya Donald Trump na Zelensky na imethibitishwa na Mkuu wa CIA
Ikumbukwe kwamba tangu vita hii ianze mwaka 2022 Uingereza na Marekani pamoja na washirika wengine kama Australia na New Zealand wamekuwa wakiipa Ukraine msaada wa taarifa zozote za kiusalama pamoja na taarifa muhimu za kijasusi ili Ukraine waweze kupambana na Urusi
Mtaalamu wa masuala ya kijeshi, Phil Ingram, ameieleza Daily Mail kuwa ingawa uamuzi huo haujawashangaza wengi lakini inaonesha ni kiasi gani msimamo wa Marekani umebadilika tangu Zelensky atifuane hadharani na Donald Trump
"Marekani imekataza hadi washirika wake akiwemo Uingereza kuendelea kuipatia taarifa za kiusalama Ukraine," alisema Ingram.
==============================================================
The United States has reportedly banned the United Kingdom from sharing American intelligence data with Ukraine, marking a shift in Western support for Kyiv, Daily Mail reported on March 4.
Intelligence Flow Cut Off
According to the report, UK intelligence agencies and military branches have received explicit orders to stop passing on U.S.-generated intelligence, which was previously labeled Rel UKR (Releasable to Ukraine).
Since the start of Russia’s full-scale invasion, the UK—along with other key U.S. allies like Australia and New Zealand—has been sharing American intelligence with Ukraine as part of broader Western assistance.
Military intelligence expert Phil Ingram told Daily Mail that while the decision is not entirely surprising, it signals a major policy shift by the U.S.
"The U.S.’s intelligence partners, including Britain, have had their authority to pass on intelligence revoked," Ingram said.
The decision follows the recent U.S. halt on military aid to Ukraine, a move that has raised concerns among Kyiv’s allies.
Despite growing fears of reduced Western backing, U.S. House Speaker Mike Johnson insisted that Washington’s actions are only a “temporary pause.”
Source: Dagens.com
Boots on the ground.Sasa kumbe ukreni ushiriki wake ulikua eneo Gani katika hii vita kama Hadi taatifa za kiinterejesia zilikua zunatoka USA na nchi nyingine washirika?
Sivyo. Biden alimpa Zelenskyy taarifa za kiinteljensia kuwa Urusi tayari iko hatua za mwisho kuvamia Ukraine na kuichukua “in a matter of days” akamshauri aondoke haraka sana na familia yake kwani wao ndio target namba moja ya Putin kutesa na kuuawa. Marekani walishampangia msaada wa kumtoa Kyiv.Hiyo kauli ilikua ni kabla USA na NATO hawajaingia kuisaidia Ukraine.
Na kwa hiyo Kiev haikuanguka kwa sababu ya misaada kama hiyo.
Tatizo si zelensky, yeye anapigania nchi yake, siasa za marekani inategemea na rais aliepo. Akitoka trump atakuja mwingine si ajab akarudisha misaadaTatizo ni Zelensky hajui siasa za US hapo mpaka wamuondowe madarakani ndo maelewano yaanze upya na hawatashindwa kumuondoa alicho fanya ni ujinga kubishana na trump hadharani.
Mambo nyewe ukiyasikiliza utachoka😂😂😂kule trampo kashawahi kuropoka kua askari wa nchi za umoja wa ulaya waliokua ukreni hawataendelea kuhudumiwa chini ya NATO 😁😁😁 inaonekana hata ground Kuna mambo watu hawataki kufunguka 🤓Aya bhn sie yetu macho🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂😅Ma alikiabakisifiwa sana na wapenda vita humu.
Akitoka trampo akiingia rais mwingne atakayerudisha iyo misahada nistue ,Kuna million mbili zako zipo kwangu😂Tatizo si zelensky, yeye anapigania nchi yake, siasa za marekani inategemea na rais aliepo. Akitoka trump atakuja mwingine si ajab akarudisha misaada
Siku europe iki terminate msaada kama huo kwa ukraine ndipo hali itakuwa mbaya zaid kwao.
Sawa mzungu msomi 😁huko mtimbwilimbwi wazima lakini?Hujui kitu wewe nyamaza hata wewe huwezi kuwa vitani na unaweza kupata taarifa zote kwa usahihi. Lazima ulipe watu wafanye kazi hizo. Military intelligence ni tofauti na battlefield intelligence (IPB).
Sit ther and wait my man, you will be shockedAkitoka trampo akiingia rais mwingne atakayerudisha iyo misahada nistue ,Kuna million mbili zako zipo kwangu😂