"Hakuna Kitabu Chochote Cha Dini kinachoonesha Kiongozi wa dini anapingana na Serikali, bali Vitabu Vinaonesha kuwa hata Yesu alitoka kilomita nyingi kwenda kuhesabiwa"- amesema Kiongozi wa Dini kwenye Kongamano la Amani Nyanda za Kusini
Soma pia GE2025 - Viongozi wa Dini Mwanza: Serikali isipuuze Maoni ya Viongozi wa dini, Maana wakati huu wa uchaguzi ndo tunaambiwa tuhubiri amani
Soma pia GE2025 - Viongozi wa Dini Mwanza: Serikali isipuuze Maoni ya Viongozi wa dini, Maana wakati huu wa uchaguzi ndo tunaambiwa tuhubiri amani