Mmoja wa Viongozi wa Dini kutoka Manispaa ya Kigoma amesema wameshuhudua mabadiliko makubwa Mkoani humo tangu Rais Samia Suluhu ashike madaraka.
Ametaja miradi mbalimbali iliyotekelezwa na kuwaasa wananchi kumchagua Dkt. Samia Suluhu Hassan kuendelea na uongozi wake katika nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.