Kiongozi wa Hamas aliyeongoza mauaji ya Wayahudi ukingo wa magharibi wa mto Jordan auawa na IDF

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2020
Posts
3,585
Reaction score
8,106
Wadau hamjamboni nyote? Taarifa mpya hiyo kubwa la magaidi almaarufu Nael Sakhel ameuawa katika shambulizi la IDF huko Gaza

Soma zaidi hapo chini: Mungu ibariki Israel

=============

IDF: Top Hamas operative who directed West Bank terror killed in recent Gaza strike

A senior Hamas member in the Gaza Strip who was involved in directing attacks in the West Bank, was killed in a recent airstrike, the IDF announces.

According to the military, Nael Sakhel was targeted on July 24, and a few days later, it received intelligence that he was killed.

Sakhel had been a member of Hamas’s so-called West Bank headquarters for more than a decade, the IDF says. The Gaza Strip-based unit is charged with directing attacks on Israel from or within the West Bank

According to the IDF, Sakhel was involved in funding and providing weapons to terror cells in the West Bank.

Sakhel had first been detained by Israel in 2003 and sentenced to life over involvement in a suicide bombing in Israel. He was then released and exiled to Gaza in a 2011 deal, in which Israel exchanged 1,027 terror convicts for captive soldier Gilad Shalit.

Soma: Kiongozi Mkuu wa Hamas, Ismail Haniyeh afariki baada ya kushambuliwa akiwa Iran
 
Wadau hamjamboni nyote?

Taarifa mpya hiyo kubwa la magaidi almaarufu Nael Sakhel ameuawa katika shambulizi la IDF huko Gaza

Soma zaidi hapo chini:

Mungu ibariki Israel

HIvi unajua hata kwann Iran aliruhhsu jamaa aondoke waliamini Israel atasitisha mapgano

Shidaaa amekufa wametangaza list nyingine ndio chukizo la Iran

Na Netanyahu kasema mpaka waishe viongozi anaowajua atarudi kwao
 
Huyo mrithi wa Haniye atafanyaje kazi? Kwa sababu na yeye anatafutwa sana na jeshi la Israel. October 17 attack imekuwa chanzo cha matatizo yote, imeleta madhara makubwa sana kwa wapalestina na viongozi wa Hamasi, hao viongozi wa Hamas kuuliwa sana inatokana na wapiganaji wa hamas waliokamatwa na jeshi la Israel kutoa siri baada ya interogation
 
Hili ndilo nilitaka israel ilifanye kuwaua magaidi na sio kuua watoto shuleni
Leo mmeamua kusema ukweli endeleeni tu kukaa kimya
Wazayuni ushindi pekee wanaoupata nikuua watoto kina mama wazee na wafanyakazi wa misaada
Ngoja kwanza mpaka sasa wamekomboa magaidi wao wangapi waliotekwa na hamas
 
Huyo mrithi wa Haniye atafanyaje kazi? Kwa sababu na yeye anatafutwa sana na jeshi la Israel. October 17 attack imekuwa chanzo cha matatizo yote, imeleta madhara makubwa sana kwa wapalestina na viongozi wa Hamasi, hao viongozi wa Hamas kuuliwa sana inatokana na wapiganaji wa hamas waliokamatwa na jeshi la Israel kutoa siri baada ya interogation
Tokea walipotangaza kutaka kumuua anafanyaje kazi mpaka leo?
 
Wadau hamjamboni nyote?

Taarifa mpya hiyo kubwa la magaidi almaarufu Nael Sakhel ameuawa katika shambulizi la IDF huko Gaza

Soma zaidi hapo chini:

Mungu ibariki Israel

IDF: Top Hamas operative who directed West Bank terror killed in recent Gaza strike

A senior Hamas member in the Gaza Strip who was involved in directing attacks in the West Bank, was killed in a recent airstrike, the IDF announces.

According to the military, Nael Sakhel was targeted on July 24, and a few days later, it received intelligence that he was killed.

Sakhel had been a member of Hamas’s so-called West Bank headquarters for more than a decade, the IDF says. The Gaza Strip-based unit is charged with directing attacks on Israel from or within the West Bank

According to the IDF, Sakhel was involved in funding and providing weapons to terror cells in the West Bank.

Sakhel had first been detained by Israel in 2003 and sentenced to life over involvement in a suicide bombing in Israel. He was then released and exiled to Gaza in a 2011 deal, in which Israel exchanged 1,027 terror convicts for captive soldier Gilad Shalit.
wewe utakuwa mkiristo uliutumwa humu kuja kupiga Propganda. habari zako zimekaa kipropaganda.
 
Nina imani kabisa hy ndio Israel mtoa roho.

KAZI ni kipimo cha UTU
 
Leo mmeamua kusema ukweli endeleeni tu kukaa kimya
Wazayuni ushindi pekee wanaoupata nikuua watoto kina mama wazee na wafanyakazi wa misaada
Ngoja kwanza mpaka sasa wamekomboa magaidi wao wangapi waliotekwa na hamas
Ewe msemaji wa hamas kutokea namtumbo, je ni lini Iran wataanza kurusha baruti?
 
Ingekua kukomboa mateke ni kipaombele cha idf basi mateka wangeachiliwa tangu decemba mwaka jana. Maana hata hamas walikubali mashart ya israel.
Sema sasa idf inataka kuifuta kabisa Hamas na ndio lengo lao.
Mmoja afe wengine waishi.
Israel ina mbinu mashalla
 
Mimi msemaji wa hamas mambo ya tehran sina ujuvi nayo
Labda tumuulize katibu mkuu wa wizara ya mambo ya nje ya tehran na msemaji wake ndugu Ritz na bwana Kosugi wanaweza wakawa na info kadhaa
Mwambie kijana atulie kipigo kinakuja.
Kwanza tunaanza na tifua tifua kupitia Hizbollah.
 
  • Kicheko
Reactions: 511
Leo mmeamua kusema ukweli endeleeni tu kukaa kimya
Wazayuni ushindi pekee wanaoupata nikuua watoto kina mama wazee na wafanyakazi wa misaada
Ngoja kwanza mpaka sasa wamekomboa magaidi wao wangapi waliotekwa na hamas
Hao watoto watakuwa magaidi wa baadae, hao wamama ndo wanazaa magaidi na kutumiwa na magaidi
 
Leo mmeamua kusema ukweli endeleeni tu kukaa kimya
Wazayuni ushindi pekee wanaoupata nikuua watoto kina mama wazee na wafanyakazi wa misaada
Ngoja kwanza mpaka sasa wamekomboa magaidi wao wangapi waliotekwa na hamas
Endelea kujifariji wakati death toll ya wapalestin imafika 40k,na miji yao imeharibiwa vibaya na bado kichapo kinaendelea.

Ukiwa mvaa kobazi hata common sense unakosa?
 
Leo mmeamua kusema ukweli endeleeni tu kukaa kimya
Wazayuni ushindi pekee wanaoupata nikuua watoto kina mama wazee na wafanyakazi wa misaada
Ngoja kwanza mpaka sasa wamekomboa magaidi wao wangapi waliotekwa na hamas
Ismael haniyeh, mohameid Deif na magaidi wengine wa hamas waliouawa ni wanawake na watoto mnatumia hili neno la wanawake na watoto kama vita vya kipropaganda dhidi ya israel
 
Ewe msemaji wa hamas kutokea namtumbo, je ni lini Iran wataanza kurusha baruti?
Wanatumalizia bando zetu tu,

Tunaweza bando tufuatilie jinsi Iran atakavyofilw bila kondomu lakini hapeleki mkund wake Israel anatoa AHADI hewani ataupeleka ukasuguliwe lakini hapeleki anaogopa mguu wa mtoto
 
Back
Top Bottom