Yoav Gallant
JF-Expert Member
- May 23, 2023
- 2,122
- 4,699
Magaidi hata wakijificha ardhini huko huko wanawahishwa kwa mabikira
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siyo Oct 17 ni Oct 7Huyo mrithi wa Haniye atafanyaje kazi? Kwa sababu na yeye anatafutwa sana na jeshi la Israel. October 17 attack imekuwa chanzo cha matatizo yote, imeleta madhara makubwa sana kwa wapalestina na viongozi wa Hamasi, hao viongozi wa Hamas kuuliwa sana inatokana na wapiganaji wa hamas waliokamatwa na jeshi la Israel kutoa siri baada ya interogation
Wadau hamjamboni nyote?
Taarifa mpya hiyo kubwa la magaidi almaarufu Nael Sakhel ameuawa katika shambulizi la IDF huko Gaza
Soma zaidi hapo chini:
Mungu ibariki Israel
IDF: Top Hamas operative who directed West Bank terror killed in recent Gaza strike
A senior Hamas member in the Gaza Strip who was involved in directing attacks in the West Bank, was killed in a recent airstrike, the IDF announces.
According to the military, Nael Sakhel was targeted on July 24, and a few days later, it received intelligence that he was killed.
Sakhel had been a member of Hamas’s so-called West Bank headquarters for more than a decade, the IDF says. The Gaza Strip-based unit is charged with directing attacks on Israel from or within the West Bank
According to the IDF, Sakhel was involved in funding and providing weapons to terror cells in the West Bank.
Sakhel had first been detained by Israel in 2003 and sentenced to life over involvement in a suicide bombing in Israel. He was then released and exiled to Gaza in a 2011 deal, in which Israel exchanged 1,027 terror convicts for captive soldier Gilad Shalit.
Hao watoto watakuwa magaidi wa baadae, hao wamama ndo wanazaa magaidi na kutumiwa na magaidi
Na hao watoto ndio magaidi wa kesho.Hili ndilo nilitaka israel ilifanye kuwaua magaidi na sio kuua watoto shuleni
Hata wakiwa 1000 watasakwa na kuuwawa na mkono mrefu wa MOSSADKuna waandamizi wangapi na wote kila siku huuawa haohao ?? au wana roho ya paka