Kiongozi wa Iran Ayatollah Khamenei, anafanya kosa kubwa kwa kutangaza wazi mahali na muda wa hotuba yake

Hana haja ya kuogopa kifo maana mwislamu kufa ni ibada😃 na kichapo kitaendelea hata wakiua viongozi.
Kimsingi, hakuna anayeogopa kifo. Kinachoogopwa ni kutangulia kufa. Hata Ayatollah wa Iran kuna wakati huwa anapelekwa kwenye secure location akiamini kuwa ndio sehemu salama zaidi.
 
Ayatollah kwa Iran ni zaidi ya rais. Ukimshambulia umetangaza vita ya moja kwa moja na Iran.
Israel haihitaji kumshambulia Ayatollah ili itangaze vita ya moja kwa moja na Iran. Hizo nchi mbili tayari zilishatangaziana vita zamani sana (de facto war).

Kitendo cha kushambulia ubalozi wa nchi ni tangazo tosha la vita dhidi ya nchi husika. Wala hauhitaji hata kusaini document yoyote ile.
 
Hakuna kitu kibaya kama kumuua kiongozi wa dini wa kishia.
Israel ikithubutu hakuna rangi itaacha kuona.
 
Hakuna kitu kibaya kama kumuua kiongozi wa dini wa kishia.
Israel ikithubutu hakuna rangi itaacha kuona.
Shia wakorofi sana , Indonesia imekuwa na nguvu kwa sababu yao .....Wkimuua wajiandae ya matukio ya watu kujitoa muhanga ..
 
Kimsingi, hakuna anayeogopa kifo. Kinachoogopwa ni kutangulia kufa. Hata Ayatollah wa Iran kuna wakati huwa anapelekwa kwenye secure location akiamini kuwa ndio sehemu salama zaidi.
Muda wake ukifika atang'oka tu ila sio kwa mapenzi ya Nyauba aina ya Neta
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…