Wangapi hivi Kama uko na idadi kamili?
Kumbe unajua mpo namba 3, sijataja Tz Ila umekurupuka mbio just to confirm [emoji848][emoji848]
Kweli hata R/valley kwa Maasai na Kalenjin, Western kwa waluhya, Taita hills kwa Wataita, Kisii Highlands kwa Wakisii, Nyanza ya Mchele, Meru ya Mirungi, kahawa na chai, Embu ya Mchele, kahawa, majani chai na Mirungi, Hizo zote ni wakikuyu wanaishi na kumiliki mashamba ilhali kabila hizo zingine zote ni wakimbizi pande za Kaskazini na Mashariki mwa Kenya.
You are very bright bro, how did you get to know all this? And do you have any statistics to support it so that I can also get enlightened?