Kiongozi wa maandamano ya Ngorongoro ni nani? Polisi na Intelijensia hawakuona viashiria?

Kiongozi wa maandamano ya Ngorongoro ni nani? Polisi na Intelijensia hawakuona viashiria?

Elewa pia wamasai ni wataalamu wa guerrilla war tangu enzi na enzi, hata wakoloni hawakufanikiwa kuingia na kuzigawanya jamii za kimasai, karejee historia , hivyo wanamfumo wao wa mawasiliano usio ingilika na yeyote
 
Kwahiyo unaona ni sawa watu kukatiwa huduma zote za kijamii , jifanye ungekuwa huko . Usingeandika hiki ulichoweka hapa

..siungi mkono wananchi wa Ngorongoro kukatiwa huduma za kijamii.

..pia nimesikitishwa kwamba unyama huo umefanyika kwa miaka 4 na Watanzania hatukuwatetea Wamaasai.

Hismastersvoice
 
Wewe usije kuwajaza wakadhani ni kweli wakija kuvuka red line usije ukaja humu kuanza kulilia haki za binadamu. Serikali haishindwi kitu ila siasa ina nafasi yake.

..kuna wakati serikali huwa inashindwa.

..Na Ngorongoro serikali alishindwa.
 
Wamasai wameupiga mwingi sana no wonder walianza kuwazushia eti siowaTz bali wanatoka Kenya hahhahahh
Baada ya CCM na makada wake wauaji kushindwa nguvu ya umma wa Masai, wakaona waje na kona kali kudai hao Wamasai wanaopigania haki zao ni Wakenya.
Wameshangaa kuona sehemu ya Watanzania ambao tunachukuliwa kama mbwa wanapigania haki zao. Wameghafirika, hawakuzoea kabisa.
 
Polisi wa kawaida wa kabila jingine asingeweza ku infiltrate jamii ya kimasai na kuchukua habari lakini pia hata polisi toka jamii ya kimasai asingeweza kufanya huo ujinga, maana wamasai wakiwa jandoni wanapewa kula kiapo Cha kutomsaliti mmasai mwenzake hata apewe kitu gani. Na angetokea msaliti wa kimasai Basi karma ingeanza na yeye.

Hawajatokea handlers Wazuri tu ndio maana.

U snitch upo sana tu ndani yao. Mfano mzuri tu ni hawa wanaouza dawa mjini huko.
 
Polisi wamekariri kuiandama Chadema tu kazi zinazohitaji weledi hawaziwezi
 
Back
Top Bottom