Kiongozi wa Madaktari (Dr. Ulimboka) atekwa, aokotwa akiwa katika hali mbaya sana

Kiongozi wa Madaktari (Dr. Ulimboka) atekwa, aokotwa akiwa katika hali mbaya sana

mayoscissors

JF-Expert Member
Joined
Nov 24, 2009
Posts
975
Reaction score
478
Sasa uchokozi umefikia pabaya na hii sasa ni vita!!

Taarifa iliyonifikia hivi punde ni kuwa jemedari Dr. Ulimboka ametekwa majira ya saa sita usiku na watu watatu waliokuwa na silaha za moto na kumpeleka kusikojulikana! Inasemekana alipigiwa simu na jamaa mmoja aliyejitambulisha kwa jina moja la 'Abeid' ambaye tangu mwanzo amekuwa akiwasiliana naye na kujiita afisa wa serikali na kudai kuwa alitaka aonane naye face to face kwa ajili ya reconciliation.

Taarifa zimekwisha fikishwa polisi na sehemu zingine kwa ajili ya ufuatiliaji. (source chanzo cha kuaminika).

UPDATE:
Inaelekea waliomteka si watu wema kabisa, Dr. Ulimboka kaokotwa sehemu akiwa katika hali mbaya sana!

Jamani this is is serious; Nimepigiwa simu sasa hivi na watu wa Legal and Human Rights Center wameniambia wametoka kumchukua Dr. Ulimboka kule Mabwepande amepigwa vibaya sana na ni emergency wanampeleka MOI sasa hivi.

Please tunaomba mtume habari hii kila mahali please!

Ni habari ya uhakika sana nimeomngea na Patience Mlowe wa Legal and Human Rights center.

Chanzo: Colleague ambaye yuko naye sasa!
Kamanda wa polisi Suleiman Kova amekaririwa akisema kwamba Dr. Ulimboka ametekwa akiwa Club na watu wasiojulikana akiwa anakunywa kinywaji na kuahidi kwamba uchunguzi unaendelea kuhusiana na tukio hilo.
Tutaendelea kutoa updates kadiri muda unavyoruhusu.

ulimboka.jpg

PICHANI: Dkt. Ulimboka akiwa katika hali mbaya mara baada ya kuokotwa akiwa hajitambui.
Ulimboka alitekwa jana usiku mida ya saa 6 usiku baada ya kupigiwa simu na mtu aliyejitambulisha kwa jina la Abeid na alitekwa na watu wawili waliokuwa na silaha. Kufuatia hali hii wafanyakazi wa chumba cha maiti Muhimbili nao wamegoma na mgomo huenda ukawa mkubwa zaidi!

Matukio mengine ya watu wasiojulikana Soma

2013

- PICHA: Hawa ndio waliomuua mwandishi wa Channel Ten (Daudi Mwangosi) huko Iringa

- Absalom Kibanda (Mwenyekiti wa Jukwa la Wahariri) avamiwa na watu wasiojulikana na kujeruhiwa

- Mwandishi wa kampuni ya Mwananchi Communications (MCL), Azory Gwanda apotea siku 10 na hajulikani alipo

- Dkt. Slaa Afuatiliwa na watu wasiojulikana kutoka Iringa hadi Dar Es Salaam

- Picha: Nyumba ya Asha Baraka yabomolewa na watu wasiojulikana eneo la Hanansifu jijini Dar

- Kanisa la Segerea latupiwa 'bomu' la mafuta, laungua; KKKT Kijitonyama kwaibuka hofu!

- Mbeya: Wananchi wenye hasira wachinja hadi kuua watoto wawili wa Diwani wa CCM

- Mbunge wa Kasulu mjini Moses Machalli avamiwa na kupigwa na watu wasiojulikana!

- Jengo la CCM Mtwara lateketezwa kwa moto...

- 'Wahuni' wateketeza mali za kanisa Sumbawanga

- Kanisa la TAG Songea latishiwa kuchomwa moto

- Ifunda tech secondary school ya chomwa moto

- Mwandishi Andrew Chale anusurika kutekwa na watu wasiojulikana

- Zanzibar: Padri auawa kwa kupigwa Risasi!

- Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Gairo amwagiwa Tindikali na watu wasiojulikana

- Mwanza: Watu watatu wa familia moja waliuawa kikatili, kwa kunyongwa na watu wasiojulikana

- Mbeya: Kiongozi wa CHADEMA ajeruhiwa kwa risasi

- Vurugu zimetokea Msikitini huko Kyela, watu wajeruhiwa kwa visu na mapanga

- Mwanaharakati Albanie Marcossy atoweka kunusuru maisha yake

- Taarifa kwa Vyombo vya Habari kutoka Ofisi ya Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha juu ya CHADEMA

2014
- Watu wasiojulikana wameiba sanduku lenye chatu na kulitelekeza

- Mgombea Udiwani Kata ya Mtae atekwa na watu wasiojulikana

- Mmoja auawa kwa risasi na watu wanaodhaniwa kuwa majambazi - Mataa ya Airport

- Profesa Athuman Mavige auawa kwa risasi Bunju

- Mlipuko watokea Darajani Zanzibar. Mmoja auawa

- Uchaguzi S/Mitaa: Mgombea wa CCM kijiji cha Isanzu Nzega auawa kwa kukatwa mapanga

- M/kiti wa UVCCM Wilaya ya Mwanga na Katibu Msaidizi Mkoa wa Vyuo Vikuu washambuliwa kwa Risasi

- Viungo vya binadamu (idadi kubwa) vyaokotwa Bunju-Machimbo

2016
- Watu wasiojulikana wampiga risasi na kumuua Alphonce Nyinzi M/Kiti wa Mtaa wa Bulale mkoani Mwanza

- Tanzia: Thomas Mashali afariki dunia baada ya kushambuliwa na watu wasiojulikana

2017
- DODOMA: Tundu Lissu ajeruhiwa kwa risasi, akimbizwa Hospitali

- Tuiachie Serikali itoe majibu ya nani anahusika na shambulio la Lissu, msituchanganye wananchi

- Kushambuliwa Tundu Lissu: Mwigulu aahidi vyombo vya dola vitawatia mbaroni watu wasiojulikana!

- Kenya: Nyumba ya Makamu wa Rais William Ruto yashambuliwa kwa risasi na watu wasiojulikana

- Zaidi ya ekari elfu 7 za mazao ya wananchi Kigoma zavunwa na watu wasiojulikana na nyumba kuchomwa

- Jiepushe na 'Watu Wasiojulikana' kwa hizi mbinu 10

- Kumbe Ben Saanane alipotea kwa sababu hii ya kuhoji ushindi wa fulani

- Siku, dakika za mwisho kabla ya Ben Saanane kutoweka

2018
- Dar: Mfanyabiashara Mohamed Dewji(Mo Dewji) atekwa na watu wasiojulikana maeneo ya Oysterbay

- Polisi Zanzibar walichora Mchoro wa wasiojulikana wakakamatwa, bara tunashindwa nini kwa Lissu?

- Taifa linahangaika na wasiojulikana waliomshambulia Tundu Lissu! Je, ni hawa?! Mhe. Mwigulu, IGP, anzieni hapa!

- ORODHA: Watu Waliouawa/Kutekwa/Kupotezwa na Watu Wasiojulikana/Police Brutality Utawala Wa Magufuli

2019
- Mfanyabiashara Raphael O. Ongangi atekwa na watu wasiojulikana! Ni aliyekuwa Msaidizi wa Zitto

- Msaidizi wa Benard Membe, Allan Kiluvya adaiwa kutekwa na watu ‘wasiojulikana’

- Dar: Mwandishi Bollen Ngetti adaiwa kutekwa tena na watu wasiojulikana; apatikana

- Hebu tuanzie hapa: Ben Saanane alitoka kwao saa mbili asubuhi ila hakurudi mpaka leo. Yupo hai? Kuna huu ujumbe aliotuambia

2020
- Dodoma: Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe avamiwa, apigwa na kujeruhiwa na watu wasiojulikana

- Uelewa wangu juu ya kundi la watu wasiojulikana

- Lindi: Watu wasiojulikana wamechoma moto nyumba ya Msimamizi wa Uchaguzi na nyumba ya Mbunge

- Uchaguzi 2020 - Mgombea ubunge jimbo la Mvomero kupitia CHADEMA ndugu Peter Mdidi ametekwa na watu wasiojulikana na kupelekwa kusikojulikana

- Uchaguzi 2020 - Kama Amiri Jeshi Mkuu, tuambie hawa "wasiojulikana" ni akina nani tutakupa kura, mengine tutakusamehe

- Watanzania waliounda genge la "watu wasiojulikana" roho mbaya waliitoa wapi?

2021
- Dodoma: Watu wasiojulikana wavunja na kuingia nyumbani kwa Humphrey Polepole na kuiba

- Waziri wa Uganda apigwa risasi na watu wasiojulikana karibu na nyumba yake

- Watu Wasiojulikana wafunga ofisi ya serikali ya mtaa Jijini Mwanza

2022
- Auawa, akatwa korodani na koromeo na watu wasiojulikana mkoani Mwanza wilaya ya Sengerema

- Heka heka za watu wasiojulikana kwenye awamu ya sita

2023
- Gari la mbunge wa Songwe lachomwa moto na watu wasiojulikana

- Mwaka wa pili sijawasikia watu wasiojulikana

- Msaidizi wa Lissu adaiwa kujeruhiwa na mapanga na watu wasiojulikana

- Siku Watu Wasiojulikana walipoharibu magari ya Mbowe huko Hai

2024
2025
 
mh! sidhani kama that can be the case, labda useme amekamatwa. kutekwa?
 
Wenye silaha ni maaskari na usalama, Dr Ulimboka hana biashara yoyote anayofanya imfanye atekwe, hana pesa hana kitu ni maskini tuu, sasa swali kuu ni nani aliyemteka? Ni government agent na ni specific na issue ya madokta full stop.

Aand then what next.....the doktas are still ndani ya mgomo baridi
 
Watakuwa wapuuzi kweli wakimteka. Labda kukamatwa kwa kuvunja sheria. But does it help?
 
Sasa mbona hao jamaa kwa kitendo hicho ndio wanaibua ajenda mpya sasa!!!!!!!!!
 
yaan serikali hapo ndo inapochemka!what do u think ikitangazwa kuwa amekamatwa au kitekwa,nchi haitatawalika jamani,mark my word!
 
Ndio maamuzi mabovu ya serikali. Bado walimu na kitawaka tu.
 
Kama habari hii ni ya kweli, Suluhisho la ukweli halitokani na kuteka watu, ni kwa kuwapa madaktari haki yao.

Serikali badala ya kuteka mafisadi inateka wanaodai maslahi yao. Aibu!. Baadhi ya madai ya madaktari ni ya Msingi, wanataka huduma ziboreshwe hospitalini, wanataka wasiwaandikie watu aspirini wakati wanahitaji dawa ya malaria isiyokuwepo.

Haya ni madai ya haki, hayatatatuliwa kwa kuteka watu.
 
Inanikumbusha utawala wa Moi Bwana Ouko alipopotea kwa Staili hii.... Sasa kama Mr Dhaifu naye anafuata njia hizi hizi kufunika Uozo wake hii ni hatari zaidi ya Ukoma
 
ma Dr wapo tayari kwa mazungumzo ya dhati, hiyo njia wanayotumia serikali italeta tatizo la pili.
 
Serikali ya ccm angalieni sana! Kumwaga damu sio suluhisho la matatizo! Mkimuua huyo ndio chanzo cha migogoro zaidi!!!
 
Du imbombo ngafu ni simple kuwatrack hao waliomkamata kupitia call records zao tu mpaka watajulikana.
 
Back
Top Bottom