John Wickzer Mulholland
JF-Expert Member
- Apr 13, 2023
- 6,656
- 14,403
JK aliwaachia wafanye mambo yao ndio mana hapakuwa na kelele kama ilivyokuwa kwa JPM, JPM yeye aliwanyoosha wengi ndo mana likitokea jambo wanasema JPM ni katili, JPM ni mwaka wa nne huu amekufa ila bado moto upo pale pale ila kuna wapumbavu wanasema wanaofanya n vibaraka wa JPM, ukiwauliza wanatumwa na nani wanaishia kuimba taarabu.
Haya mambo n toka enzi za JK (na hata sasa kwa mama) ila huwezi kusikia kelele za chadema na wanaharakati uchwara mana waliachiwa kufanya mambo yao tofauti na ilivyokuwa kwa JPM.
Kwa matendo haya Kikwete hatasahaulika. Pinda na kujidai muungwana hatasahaulika kwa unyama huu alioubariki bungeni.
Mambo mengi ya Hovyo yalianzia awamu ya Nne !
Tatizo siyo JPM Wala SSH au JK, bali chanzo cha matatizo haya yote kabisa ni kuwepo kwa Katiba ya nchi ambayo ni mbaya sana sambamba na kuwepo kwa Sheria mbaya sana zilizo kandamizi.
Bad & Repressive Constitution,
Repressive Laws, then automatically there must be the presence of the Repressive Regime.