Kiongozi wa Madaktari (Dr. Ulimboka) atekwa, aokotwa akiwa katika hali mbaya sana

enhee! Maneno yako yanaingia akilini, sidhani kama serikali wanaweza kufanya kosa la kipuuzi kama hilo.

Mkuu, unajua hata katika maisha ya kawaida katika familia sio majirani wote wanaotaka kuona unaishi vizuri na mke wako. Kukitokea kutokuelewana kidogo tu, wanaongeza chumvi na kuwavuruga kwa faida yao.

Sasa na hili la Dr. mimi siamini kama kweli Wakala wowote wa Serikali au Serikali yenyewe inaweza fanyia Dr. namna hiyo ilhali nafahamu kuwa macho na masikio ya Watzania yako hapo.

Aidha, niseme tu wazi kuwa mimi binafsi kama kweli Serikali kwa maana ya vyombo vyake vya Ulinzi na Usalama ndio imefanya hilo jambo, basi walishauri hilo na kulitekeleza hawapaswi kuwa watumishi katika vyombo hivyo, kwa sababu ni kama kumwaga petrol kwenye moto unaelekea kuzimika.

Nadhani kuna namna hapa, kuna mtu asiyeitakia nchi mambo mema kafanya hili kama ni Serikali, basi na yenyewe imeishachoka kuongoza sasa inatawala kwa nguvu.
 

Hajavunja sheria...anatishiwa awaambie madaktari wasigome....but the approach used is so mediocre to the point that all fingers go back to the state and say...you are breaking the laws
 
ngoja niandike kwa kwa lugha ya kwetu na ulimboka
mwaisa kyala akutule ne nyiputo syetu silinkyeni bhandile bhamenye nkuti tuli bhapatali
 
Kuna habari nimezipatra toka jukwaa la wanabidii kuwa ndugu Ulimboka ambaye ndiye kiongozi wa mgomo wa madaktari ametekwa usiku na kupelekwa kusikojulikana. Kama kunamwenye detail juu ya hili atujuze.

Ni kweli ameokotwa na watu wa legal and human rights saa 3 asbh amepelekwa moi hali yake ni mbaya sana tumuombee
 

wanapotezaje roho zisizokuwa na hatia? kumkamata na kumtesa ndio wanatatua tatizo au kurudisha hizo roho unazodai zinapotea? !

yaani tumefikia hapa kweli?.imeniuma sana.
sasa huu ni usalama gani wa taifa? kwa tendo lao hilo kutakuwa na usalama gani?
mnakubali kutumiwa na wanasiasa kijinga namna hii? vitu vya msingi vinavyohatarisha usalama wa nchi vimewashinda.
mnazingatia yasiyokuwa na maana kabisa.
huo ndio uhuru wa mahakama? mabwana zenu si wamekimbilia mahakamani, mngesubiri tu.
 
NasDaz Unaweza ukawa sahihi. I agree with you kwa yote hapo juu. Ila serikali pia yaweza fanya hivi, kwani inauwezo mkubwa wa kukana, mtawafanya nini?
 
Last edited by a moderator:
Mkuu wa serikali bungeni kasema atatoa tamko leo na kasema liwalo na liwe.
 
There are currently 1567 users browsing this thread. (299 members and 1268 guests)

Hawa guests ndo waliomfanyia Dr. Ulimboka alafu wako hapa wanasikilizia reaction ya wananchi.
 
KISA KAMA CHA DR. ULIMBOKA:

Doctors in government and private service went on strike from 7.30 a.m. on Wednesday, honouring the call given by the Tamil Nadu Government Doctors' Association, in protest against the killing of Tuticorin ESI doctor T. Sethulakshmi on Monday night.

About 16,000 government doctors from across the State are participating in the strike, including around 1,500 doctors from state-run medical colleges. The strike will continue till 7.30 a.m. on Thursday.

Emergency services continued to run throughout the State, representatives of TNGDA have said. According to the State Government Health Department sources, while the strike was on, efforts were being made to address emergency concerns at all state-run healthcare institutions and no patient who needed a life saving procedure was turned away.
Dr. Sethulakshmi was stabbed several times by Mahesh, an auto driver, after his wife, Nithya, who was under her care died on the way to a referral centre. The doctors’ strike will continue on Thursday, with a similar call being issued by the Indian Medical Association's Tamil Nadu State Branch, in protest against the same incident.

TNGDA State secretary P. Balakrishnan said the association had proposed to place five demands to the State government. The association and members of various chapters of the IMA will present their demands to district collectors at Chennai, Madurai, Coimbatore, Tirunelveli, Dharmapuri and Kanyakumari on Thursday. Around 3,000 private hospitals in the State will go on strike from 6 a.m. till 6 p.m. on Thursday, Dr. Balakrishnan added.

Their demands include immediate punishment of Mahesh; declaration by the government that all hospitals be protected by police stations in the nearby area; suspension of the police officer concerned who did not take “timely action” despite the complaint made by Dr. Sethulakshmi a couple of days prior to the incident; and halt of caesarean section surgery by doctors at PHCs, who have undergone compulsory six-month training in anaesthesia.

.
 
sikumuelewa leo PM alipotamka vile "kama wswahili wasemavyo liwalo na liwe" sijui alimaanisha nini???natafakari
Ukishindwa kuelewa kauli rahisi na ya wazi km hiyo uanweza kuelewa kauli tata? Alichomaanisha ni kuwa Wamejitahidi kuwadekeza kwa kadri ya uwezo wao lakini inavyoonekana wanayonena si yaliyo moyoni mwao, na yaliyo moyoni mwao hawayaneni kwa vinywa vyao! Km shida kila fani katika utumishi wa umma zimo, na kuwa waganga hawawezi kuishi in isolation na wakawa salama...wanawahitaji wengine wa fani tofauti...na hao pia wanastahili ahueni katika kutimiza majukumu yao, kwa kugawana equitably keki ya taifa.
 
salamu zangu za pole zikufikie Ulimboka.......utapona tu

Kama inavyosemekana kuwa amepigwa, sidhani kama ni njia nzuri ya kusolve matatizo kwenye sector za serikali.Na siyo waalimu na madoctor to wana vitendea kazi duni buli ni masector mengi ya serikali. Ni vizuri hizo hela zinazosemekana zipo nje zikaboresha hizi sector.
 
Dr Ulimboka atawataja wahusika tumwoombee apone

Atawafahamu ?, maana hizi ni proffesion za watu !! wanaweza kuwa ni watu ambao tangu azaliwe hajawahi kukutana na hatakutana nao maishani, katika issue kama hizo watu wanatolewa nje ya nchi au wanafunika nyuso zao.
 
Habari za kidaku zimesambaa kwamba huyu abeid Mama yake alikufa kwa kukosa matibabu katika mgomo uliopita....
na amesema ata strike back ten times more...hii balaaa

Mbinu mliyoamua kutumia ni ya kipumbavu sana.......
 
Msisahau ni juzi tu mtoto wa Mkulima alilonga kuwa LIWALO NA LIWE....kwangu mimi yeye ndio # suspect....:mod:
 
we have to pray to GOD coz now issue is at bad situation
 

Usiseme kuwa ni kati ya serikali au CHADEMA mmojawapo alihusika na kifo cha Wangwe, ukweli ni kuwa tukubali kuwa au Serikali au ilikuwa ajali ya kawaida.

Nina hakika kama CHADEMA ingekuwa imehusika serikali ya CCM ingefanya kila iwezekanalo kiitia hatiani CHADEMA ili kuwaonesha wananchi kuwa ni chama cha mauaji, walishindwa kufanya hivyo kwa kuwa hakukuwa na namna ya kuihusisha CHADEMA zaidi ya kupiga kelele mitaani.

Na katika hili, kama ni watu tu wasio na uhusiano na serikali ndiyo waliohusika na uovu huu, masaa 48 hayatapita watakuwa wamekamatwa lakini hawatakamatwa kwa sababu anayetakiwa kuwakamata ndiye aliyehusika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…