Kiongozi wa Madaktari (Dr. Ulimboka) atekwa, aokotwa akiwa katika hali mbaya sana

With DUE RESPECTS, MODS Paw Cookie Moderator naomba hii thread kwa kua imekua ukumbusho wa matukio ya utekaji na mauaji nchini toka kipindi cha Kikwete, basi ipewe jina la MATUKIO YA UTEKAJI NCHINI TANZANIA YANAYOFANYWA NA WASIOJULIKANA
 
Hivi Ulimbola yuko wapi?
 
Haya mambo n toka enzi za JK (na hata sasa kwa mama) ila huwezi kusikia kelele za chadema na wanaharakati uchwara mana waliachiwa kufanya mambo yao tofauti na ilivyokuwa kwa JPM.
 
Mataahira yatakwambia jpm ndio alianzisha utekaji
JK aliwaachia wafanye mambo yao ndio mana hapakuwa na kelele kama ilivyokuwa kwa JPM, JPM yeye aliwanyoosha wengi ndo mana likitokea jambo wanasema JPM ni katili, JPM ni mwaka wa nne huu amekufa ila bado moto upo pale pale ila kuna wapumbavu wanasema wanaofanya n vibaraka wa JPM, ukiwauliza wanatumwa na nani wanaishia kuimba taarabu.
 
Mnajiuliza sana haya huyu alipatikana mzima .

Kuna aliyekamatwa?

Kuna aliyeshtakiwa?
Nasikia kuwa mtekelezaji wa USHETANI huu amezawadiwa kwa kupewa promotion na kisha kupelekwa Bungeni, Sasa hivi ni Mbunge. Sijui kuna Ukweli gani hasa kuhusu suala hili?
 
Nasikia kuwa mtekelezaji wa USHETANI huu amezawadiwa kwa kupewa promotion na kisha kupelekwa Bungeni, Sasa hivi ni Mbunge. Sijui kuna Ukweli gani hasa kuhusu suala hili?
Ni mbunge wa Singida Kaskazini , TISS wamo wabunge kadhaa kwa mwamvuli wa chama cha majambazi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…