Kiongozi wa Madaktari (Dr. Ulimboka) atekwa, aokotwa akiwa katika hali mbaya sana


Haya mambo n toka enzi za JK (na hata sasa kwa mama) ila huwezi kusikia kelele za chadema na wanaharakati uchwara mana waliachiwa kufanya mambo yao tofauti na ilivyokuwa kwa JPM.
Kwa matendo haya Kikwete hatasahaulika. Pinda na kujidai muungwana hatasahaulika kwa unyama huu alioubariki bungeni.
Mambo mengi ya Hovyo yalianzia awamu ya Nne !

Tatizo siyo JPM Wala SSH au JK, bali chanzo cha matatizo haya yote kabisa ni kuwepo kwa Katiba ya nchi ambayo ni mbaya sana sambamba na kuwepo kwa Sheria mbaya sana zilizo kandamizi.

Bad & Repressive Constitution,
Repressive Laws, then automatically there must be the presence of the Repressive Regime.
 
Bora ww unajitambua
 
Watu wasiojulikana ishakuwa kama wimbo sasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…