Kiongozi wa Mapinduzi ya Guinea Colonel Mamady Doumbouya aifuta katiba iliyokuwepo

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Amesema katiba iliyokuwepo haikuwa chaguo la wananchi na ilikuwa kandamizi , ameifutilia mbali huku akiandaa mipango ya kuanzisha mchakato wa Katiba ya wananchi itakayokidhi matakwa ya wananchi

Askari huyo Mkakamavu na ambaye alikuwa MBEBA MWAMVULI wa Dikteta Alpha Conde kabla hajapinduliwa



Anategemewa na wananchi kwamba atarejesha haki na usawa kwenye nchi hiyo

 
Pale ambapo "France" inapanga huko kaskazini mwa bahari ya Mediterranean na kutekelezwa vyema "Afrika ya magharibi"......
 
Nchi za Afrika Magharibi hawaruhusu siasa kuingizwa kwenye majeshi ndio maana jeshi kupindua serikali ni jambo dogo sana.

Huko ukiwa rais halafu eti ukashika urafiki na mkuu wa majeshi kwa kutegemea kwamba atakukingia kifua ukifanya upumbavu basi ujue unajidanganya.

Watakupindua tu wanajeshi wengine huku huyo CDF akitazama na asifanye chochote maanake anajua akileta utemi tu atajikuta hayupo duniani na rais wake, hivyo wanaogopa.

Jeshi likishatangaza mapinduzi vikosi vyote nchi nzima ni kuunga mkono, ukileta usaliti tu unashushwa chini ya ardhi haraka sana.
 
Kumbe unalijua hilo ee?!!

Basi uache "KUWALAANI" unaopingana nao hoja na vizazi vyao kwani hata unapotoa laana wewe si "mlinzi" wa KUITEKELEZA...

#SiempreJMT
#SiempreSerikaliMbiliZaJMT
Haihusiani
 
Black men We are naturally greedy, wicked, brutal and refused to reason.

Most of these leaders are simply greedy. This guy who takes over won't be different. He will loot. He will buy expensive cars, carry women, etc. Nothing more.
I do believe there's something fundamentally wrong with blacks.we are quite same all over
 
🤣🤣
 

Mswahili hua akitaka kuhalalisha ujinga wake hua anaweka maneno ya kiingereza kidogo ili aonekane anajua-Nyerere.
 
[emoji28][emoji28][emoji28]ila kweli mda utaongea
 

Ni heri ya nusu shari kuliko shari kamili.

Col. Mamady Doumbouya amewatoa kimasomaso wananchi wa Guinea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…