Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,926
- 95,626
Hao TEL siyo marafiki wa Tanzania na pia ni taasisi huru.Waangalizi wa uchaguzi wanatakiwa kuwa watu ambao siyo ndugu zako wala siyo marafiki zako na wawe ni taasisi huru ili wasikupendelee na kukuonea aibu.Tofauti na hapo ni mzaha mtupu!Unategemea dikteta kama Museven(Tumbili) aje kuwa mwangalizi wa uchaguzi wa dikteta mwenzake ambae ni Magufuli(Ngedere) halafu atoa ripoti chafu hata kama uchaguzi haukuwa wa huru na haki?Ni sawa vile unaamini.
Hawa TEL, mimi ninawaaminije?
Kama wazungu walikataliwa hao ni kina nani?
Na mimi kama wewe usiwaamini hawa EAC eti kwa sababu ni ndugu.Hao TEL siyo marafiki wa Tanzania.Waangalizi wa uchaguzi wanatakiwa watu ambao siyo ndugu zako wala marafiki zako ili wasikupendelee na kukuonea aibu.Tofauti na hapo ni mzaha mtupu!Unategemea dikteta kama Museven(Tumbili) aje kuwa mwangalizi wa uchaguzi wa dikteta mwenzake ambae ni Magufuli(Ngedere) halafu atoa ripoti chafu hata kama uchaguzi haukuwa wa huru na haki?
Tatizo na ishu hapa siyo kumwamini mwangalizi au la.Ishu hapa ni mwangalizi kukidhi vigezo.Ni hicho tu!Na mimi kama wewe usiwaamini hawa EAC eti kwa sababu ni ndugu.
Pia mimi siwezi waamini hao wa Tanzania Election Watch.
Maana si ndugu. Wanaweza paka matope ili kutimiza intereste zao.
Nikuulize swali wewe kwenye kituo chako uliyashuhudia hayo?
Hapana, hizo Standard zinaweza zikawa bias lakini.Tatizo na ishu hapa siyo kumwamini mwangalizi au la.Ishu hapa ni mwangalizi kukidhi vigezo.Ni hicho tu!
Lazima ujue international standards za mwangalizi sahihi na uangalie je waangalizi waliokuja Tanzania ni akina nani na je walikidhi vigezo vya international standards?Vigezo vya international standards vikiwa mezani si suala tena la kusema kuwa namwamini huyu au simwamini yule, linakuwa ni suala la mwangalizi huyu ni sahihi na mwangalizi huyu siyo sahihi.As simple as that fox!
Nimekuambia hapo juu kuwa kilichotokea Tanzania ni Ngedere alifanya uchaguzi akamwita Tumbili aje kuwa mwangalizi wake.Hapana, hizo Standard zinaweza zikawa bias lakini.
Lakini kama waliruhusiwa maana yake walimeet vigezo.!
Duh,Nimekuambia hapo juu kuwa kilichotokea Tanzania ni Ngedere alifanya uchaguzi akamwita Tumbili aje kuwa msimamizi wake.
Naipa hongera na pongezi za dhati Tume ya Taifa ya Uchaguzi chin ya unyekiti wa Jaji mahir mh Simestokres. Viva TanzaniaNimekuambia hapo juu kuwa kilichotokea Tanzania ni Ngedere alifanya uchaguzi akamwita Tumbili aje kuwa mwangalizi wake.
You are too dumb to know when you have been insulted.Hiyo ni kejeli?
Acha wivu. Ulitaka amsifie Lisu?
Wewe ni loser tuYou are too dumb to know when you have been insulted.
Neno lililotumika ni "...even Tanzania..". Ni mbumbumbu tu wa mtaa wa Lumumba ndio hawawezi kuelewa kuwa hiyo (kama ndie kweli alietafsiri hivyo kutoka English) kuna upotovu hadi kutumia neno "ikiwemo" badala tafsiri sahihi "hata".
Believe whatever your dumb self have decided to believe.Wewe ni loser tu
Tume ya uchaguzi ilimtangaza mshindi na aliyeshindwa alipoyakataa matokeo kura zilihesabiwa tena, je, ndivyo tufanyavyo?Hongera Tanzania kuwa mfano wa kuigwa ulimwenguni
Demokrasia yetu ama kwa hakika imekuwa ya kupigiwa mfano kila pembe ya dunia.
View attachment 1631243
Mbona kaongea kitu iko wazi...inamana hakutegemea sehem kam Tanzania ( Africa ) ingeruhusu observers....iko wazi wanaiona Africa kama domant continent sasa ww unasema amekejel duuuh hahaha pole
Hapa Keshatupigia Prome ya kufa mtu kama Kuna mtu duniani alikua hajui Tanzania ndio kashajua na tena ni Civilised Country [emoji23][emoji23][emoji23]
Hata hivyo hivi kulikua na haja ya kuitaja Tanzania kwenye Mambo yao ya ndani ya uchaguzi ? ?
Hahahaha, kwamba Tanzania nchi ya Africa ambako wamarekani hawategemei kuwa ni mfano katika demokrasia lakini kuna nchi ambayo imeizidi USA ambaye ni baba wa demokrasia hapa duniani katika kufanya uchaguzi bora kabisa kwa kuruhusu waangalizi
Hivi wewe unajua Kiingereza kweli ama?Hongera Tanzania kuwa mfano wa kuigwa ulimwenguni
Demokrasia yetu ama kwa hakika imekuwa ya kupigiwa mfano kila pembe ya dunia.
View attachment 1631243
Wewe ndiye boya kubwa !. Huoni aibu?Hujui kitu wewe boya