Kiongozi wa Mwenge ameshang'amua miradi mingapi iliyojengwa chini ya kiwango? Au anakula kwa urefu wa kamba yake?

Kiongozi wa Mwenge ameshang'amua miradi mingapi iliyojengwa chini ya kiwango? Au anakula kwa urefu wa kamba yake?

tawakkul

Member
Joined
Oct 12, 2022
Posts
90
Reaction score
71
Habari wakuu,

Tanaambiwa kuwa moja ya kazi ya mbio za mwenge ni kung'mua miradi iliyojengwa chini ya kiwango na kukataa kuifungua.

Japo kuna mkaguzi mkuu(CAG), wakaguzi wa ndani(Internal Auditors), kamati za bunge, TAKUKURU, mkuu wa wilaya, mkuu wa mkoa lakini bado na Mwenge unatumika kukagua miradi ya maendeleo.

It is okey, lakini ni kweli kila kinachong'amulia kinafanyiwa kazi?

Naambiwa kionngozi wa mwenye nae huwa anasumbuliwa sana na wale waliofoji na kuiba kwenye miradi.
Mara nyingi huwa anapewa takirima ya nguvu.

Napata wasiwasi sana na huyu jamaa kama "ANAACHA KULA UREFU WA KAMBA YAYE"

Kuna mtu mmoja alikuwa anatafuta namba ya huyu mkimbiza mwenge ili amuandalie "TAKRIMA"

images 3.jpg
 
Back
Top Bottom