Mwanagenzi
JF-Expert Member
- Sep 11, 2006
- 738
- 273
Muhtasari wa taarifa ya mbio za Mwenge 2024 imejaa ukweli mwingi. Wamejitahidi kubainisha kero na mahitaji ya wananchi kutoka mikoa mbalimbali. Sikusikia kero za wakazi.wa Dar ila kwa mujibu wa ripoti Wazanzibari wengi wameonyesha kuridhishwa na utendaji wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano na wa Serikali ya Mapinduzi Zanzaibar.
Utendaji wa Halmashauri nyingi si wa kuridhisha na TAKUKURU inapaswa kuwa makini zaidi kwa mujibu wa ripoti.
Je, mamlaka zitachukua hatua stahiki na kwa wakati muafaka? Au makabrasha yote hayo yanaenda kufutikwa kwenye shubaka na kusahaulika?