Haijawahi kutokea kiongozi wa juu wa CCM akahamia Upinzani,labda awe ametumwa kujua wapinzani wanafanya nini.Na unaposikia kiongozi wa juu wa upinzania kahamia CCM (mifano ipo) unashtuka vile vile?
Mkuu ulitaka idhibitike vipi?Alah! kumbe inasemekana na wala haijathibitishwa......
Tatizo siyo kunywa katika Msiba,yeye alikunywa na kuwanunulia watu baada ya kusikia habari za msiba.sijasema kama ni kosa ila niimeuliza swali tu..nina mpango wa kuandika makala kuhusu hili sababu limeonesha picha mbaya sana hasa kwa wapinzani wao kwa wao na limetolewa na kiongozi wa NCCR.there is something wrong somewhere...
Jambo lingine ni kwamba Mheshimiwa alikataa kupewa mchango wa rambi rambi ambazo zilichangwa na wale wote waliokuwapo SA,akasema atawalipia akifika Dar kwa pesa zake na wao walikataa jambo hilo.
Uchunguzi kwamba bia ilinunuliwa baada ya kupata habari za msiba, au uchunguzi kuwa inawezekana alikuwa anafurahia msiba wa Wangwe au uchunguzi wa kutaka kujua kwanini alionekana kana kwamba anafurahia msiba?Tayari IGP keshaandikiwa Barua alifanyie uchunguzi
conncecting to the dot..unakumbuka James Mbatia alisema nini wakati akiongea na waandishi wa Habari?
Nyani ngabu,
Mbowe mwenyewe alikiri kuwanunulia kiywaji.
Kevo,
Unataka tunyamaze kwa sababu linawahusu wao?
where we dare talk openly!
Kwa kuwa yeye ndio alikuwa kama "mfiwa" ilifaa akarimiwe badala yake akakataa akazungusha round mwenyewe.....uliona wapi mwenye kilio anazungusha round na kugonga cheers wakati wa msiba?Nyani ngabu,
Mbowe mwenyewe alikiri kuwanunulia kiywaji.
Kevo,
Unataka tunyamaze kwa sababu linawahusu wao?
where we dare talk openly!
Nyani ngabu,
Mbowe mwenyewe alikiri kuwanunulia kiywaji.
Kevo,
Unataka tunyamaze kwa sababu linawahusu wao?
where we dare talk openly!
Gembe, una contacts za Mbowe, utafanya vizuri kumuuliza yeye mwenyewe ili akupatie maelezo ya hayo madai. Ni makosa makubwa kuamini maneno ya mtu wa pembeni kama hutapata nafasi ya kumuuliza mhusika. Ni yale yale ya Dr. Masau na madai ya Kuhani. Take time to grill him halafu uje utaumbie yeye anatoa maelezo gani?
Hata sikumbuki lakini najua NCCR wanalitaka Tarime kwa udi na uvumba; Nadhani Chadema wakubali kutosimamisha mgombea ili NCCR wasimamishe mgombea wao.
.....HAYA MAGAZETI YAMEAMUA KUKUZA HIZI HABARI KWA FAIDA WANAYOIJUA...NDIO MAANA UKIANGALIA HII HABARI IMETOKA KWA SIKU MOJA...NA KWA MAUDHUI YALEYALE ...TENA UKURASA WA MBELE..KWENYE MAGAZETI MAWILI YA MZALENDO NA MTANZANIA.....mwandishi NI "mwandishi wetu"
sasa hata kama ni kweli walikunywa pombe....mantiki ya hii habari kutoandikwa siku zote ije itolewe leo wiki tatu tangu azikwe...inaelekea ni aina ya CHARACTER ASSASINATION STRATEGY ...iliyoandaliwa kwa ajili ya CHADEMA...
..KWANZA LABDA WATU HAWAJUI BAADHI YA UTAMADUNI WA MAKABILA ....KWA MCHAGGA YEYOTE AKISIKIA MSIBA ANAJUA KUNA POMBE ..TENA NYINGI KULINGANA NA UZITO WA MTU...MCHAGGA AKIPATA TAARIFA NZITO AU MSIBA AU HATA FURAHA ..JAMBO LA KWANZA NI POMBE....SASA KAMA POMBE ALINUNUA POMBE ...NAFIKIRI NI UTAMADUNI TU......ANGEKUWA MNGONI ...ANGEKUNYWA NA KUIMBA ...SIJUI WANGESEMAJE...MAANA MNGONI AMEENDA MBALI ZAIDI YA MCHAGGA ..YEYE AKISIKIA MSIBA AU SHEREHE ..MAANA YAKE NI KUNYWA NA KUIMBA...
....NI MUHIMU KUTOTAFSIRI BAADHI YA MILA NA MAZOEA YA MAKABILA YETU VIBAYA..
..KWA MTANZANIA YEYOTE AMBAYE AMESHAWAHI KUSAFIRISHA MSIBA WA MCHAGGA TOKA DAR...MKIFIKA PALE KOROGWE [MOMBO]..MISIBA YOTE HUSUBIRIANA PALE....BASI HUTAAMINI KUWA WATU WAMEFIWA ....KUANZIA MFIWA HADI ...JAMAA WOTE WANAKUWA WANAKUNYWA POMBE KWA KUNUNULIANA..NA NYAMA ...HADI MUDA WA KUONDOKA..MISIBA HUKAA MOMBO HADI MASAAA MATATU....WAKITOKA PALE GARI ZIMA NI WALEVI....HAKUNA KULIA TENA HADI WANAFIKA ALFAJIRI....NADHANI MWANDISHI WA HABARI HIYO ....AKIONA HIYO HALI ATASEMA ..WACHAGGA HUWA WANASHEHEREKIA VIFO....LAKINI NI TABIA ZAO TU...MTU KUHUZUNIKA SIO LAZIMA UPIGE MAKELELE NA KUJIGALAGAZA NA KUSUSA KULA...KWANI HATA WACHAWI NA WANAFIKI NDIO WANAAOONGOZA KWA KULIA MISIBANI!!!!
Huu sio ujengaji wa hoja....natumaini umeonywa......Gembe umeoza unanuka ufisadi kama hao mafisadi wenzako waliokutuma kutuchanganya hapa JF ili tusiwabade mafisadi. wewe ni mufilisi... ni sawa na yule ibilisi aliyewashawishi Adam na Eva kula tunda. Kwani kununulia pombe watu ni kosa? wewe mbona unanunuliwa na mafisadi. Kama unayaandika haya ili udhoofishe vita ya kuwakomboa Watanzania masikini wanaonyanyasika kwa matokeo ya ufisadi na ulaanike! Damu ya watanzania wanaokufa kwa ajili ya huo ufisadi unaotetea na iwe juu yako na kizazi chako. Ikulilie popote uendako. Utangetange kama yule ibilisi aliyelaaniwa!!!
Mzee Mwanakijiji,
Nitamuuliza sana kuhsu hili na muda si mrefu tutajua,Je ni vibaya kuamini yale unayosoma katika magazeti?kama Lula wa Ndali mwananzela akiandika kwamba Rais wetu hana uwezo kwa kuamua mambo na anategemea sana mawazo ya kina RA na wanamtandao,na kwa kuwa kuwa lulakaandika kwasababu anamfahamu rais, je nimpinge kwa yale aliyoniambia?au hatuamini kile wanachosema wengine?Mie nadhani tuwe tunakubali yale yaliyokubaliwa na wenyewe..Mbowe mwenyewe alikubali kwamba alinunua Pombe,Mkuki mchungu..!
Ni kweli NCCR wanalitaka jimbo kama ulivyosema,ila si hawa walikuwa katika muungano wa pamoja na CHADEMA?au ulishakwisha..naomba kupata hadidu rejea za muungano wao
Kwa sababu kwangu mimi ningependa kusikia maneno aliyoyasema wakati anakunywa kwa mfano "Cheers he is dead" au "Phew, tunamshukuru Mungu kwa kifo cha Wangwe" halafu akagongesha gilasi. Alisema neno lolote kuashiria alikuwa anafurahia kifo cha Wangwe hadi akanunua ulabu?
Gembe umeoza unanuka ufisadi kama hao mafisadi wenzako waliokutuma kutuchanganya hapa JF ili tusiwabade mafisadi. wewe ni mufilisi... ni sawa na yule ibilisi aliyewashawishi Adam na Eva kula tunda. Kwani kununulia pombe watu ni kosa? wewe mbona unanunuliwa na mafisadi. Kama unayaandika haya ili udhoofishe vita ya kuwakomboa Watanzania masikini wanaonyanyasika kwa matokeo ya ufisadi na ulaanike! Damu ya watanzania wanaokufa kwa ajili ya huo ufisadi unaotetea na iwe juu yako na kizazi chako. Ikulilie popote uendako. Utangetange kama yule ibilisi aliyelaaniwa!!!
Mzee Mwanakijiji,
kama Lula wa Ndali mwananzela akiandika kwamba Rais wetu hana uwezo kwa kuamua mambo na anategemea sana mawazo ya kina RA na wanamtandao,na kwa kuwa kuwa lulakaandika kwasababu anamfahamu rais, je nimpinge kwa yale aliyoniambia?
Gembe, Lula akiandika kuwa Rais Kikwete alipokuwa Iringa alionekana kupewa bahasha kubwa na wananchi wa kijiji kimoja. Katika bahasha hisho inadaiwa kulikuwa na rushwa ya shilingi milioni tano ili awasaidia kupata upendeleo wa aina fulani.
a. Kupokea bahashha itakuwa ni fact
b. Kudai bahasha ni rushwa itakuwa ni speculation ambayo iwe na msingi.
Unachosema ni kuwa :
a. Mbowe alinunua Pombe baada ya habari za msiba (hiyo ni fact)
b. Kama ni furaha ya msiba hilo ni debatable.
Unaoneaje?
Mkuu Mwanakijiji,
Uhalisia wa habari ya lula hapo juu ni madai,hivyo yanahitaji uchunguzi tu na madai yanaweza kuwa ya uongo.
Lakini bado hujasema kama alivyokiri kuwa aliwanunulia raundi moja alifanya hivyo kwa sababu ya kufurahia kifo cha Wangwe. Je hivyo ndivyo alivyokiri?Kuhusu Mbowe,Yeye mwenyewe alikiri kuwanunulia Raundi moja.
Suala ambalo nakubaliana na wewe ambalo pia ni debatable ni kuwa "Mkuu alifanya vile kama ni furaha au la?"